Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
 
Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.

Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan😁😁😁

Jibu ni moja,wadogo zetu mnakula sana kipindi hiki kuliko wakati wowote🤣🤣🤣

Right kama wakristo kwa aina yao ya mfungo wangekuwa wanafunga siku 40 zote kila mmoja kwa kulazimishwa,nyinyi mchwa kipindi hiki cha kwaresma mngenunua sukari mpaka shilingi 500 kilo,bidhaa za vyakula zingekosa soko kabisa,watu hawali mzee wanafunga kweli kweli sio sarakasi hizo mnapiga.
 
mfungo wa kwaresma hata wakristu wenyewe hawauchukulii serious, huku maofisini watu ni ushahidi tosha, wenye hio kwaresma wengi wanaendelea kula bila shida na hakuna hata kukumbushana ama kuasana

Hii inapelekea ata viongozi kutoipa uzito Kwaresma sawa na ramadhani ambayo waislam wanajidhatiti mno kwenye mfungo.

Ramadhan utawaona waislam wakiungana katika mfungo, wanagawa vyakula kwa omba omba, watoto wa mitaani, n.k.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao zinaandaliwa na viongozi wa serikali kwenye kufungua
Wewe na wenzako mmejikita kwenye kula.Hao wengine wanajua waliposhika.Hata kama ni kula si lazima kutokula kabisa.Ni kujinyima/kwa kiasi kidogo.Hapo kilingeni kwenu(ofisi?)siyo kipimo cha kila nafsi kuhusu kwaresma.You're less concerned!
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Naunga mkono hoja.
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n..
Njaa mbaya sana. Wa kristo wanafunga kwa siri sio kama nyinyi mwez wa Ramadhan kanzu nyingi na kupaka mkaa eti sigda😆😆
 
Anataka akuone umebabuka midomo,umejikunyata,unatia simanzi,unatematema mate na kusawijika kwa sonona kwa sura kukosa nuru ndiyo aamini upo katika kwaresma. Kwa ufupi UJIONESHE.
Kufunga ni lazima kwahiyo waislamu wapo sahihi kiufupi hakuna watu wanaofuata maandiko kuwazidi waislamu,viongozi wa kikristo wanapotosha maandiko kiasi kwamba utakuta wanasigana na maandiko mwisho wa siku uislamu unakuwa kwa kasi
 
Nadhani unaelewa kwaresma inawahusu zaidi wakristu wakatoliki na wale wenye ufanano nao. The rest christians kwaresma hawajui ni kitu gani na hakipo katika imani yao. Haohao wakristo wasioitambua kwaresma hata hiyo ramadhani hawaijui ni kitu gani na hawashiriki kula futari zake kwa kuwa huiona ni ibada ya kipagani/sanamu na ni dhambi kushiriki ibada za namna hiyo. We kama mtu wa serikali muabudu ramadhani andaa tu hafla ya futari hiyo lakini hutaona mkristo anafakamia chakula hicho cha ibada yenu, utaona hao wa kwaresma wakija kula hicho chakula cha ibada yenu.
 
Wakristo wengi tu huwa wanashiriki hafla za Iftar,

FtkmbjlX0AErM2M.jpeg
E0xn0JzWYAEitMU.jpeg
 
Mi si muislam na sipaswi kula chakula cha ibada ya kiislam kwa mujibu wa imani ya dini yangu, ila ukinikaribisha kuja kula nitakuja nikiwa na dhamiri kuwa nakula chakula cha kawaida tu kisichofungamana na imani ya dini ya kiislam. Sikukuu za iddi nakula chakula kilichoandaliwa na marafiki/ndugu zangu waislam as if nakula chakula cha kawaida tu bila kuweka hisia za imani ya dini ya kiislamu. Nina mahusiano mazuri na marafiki/ndugu wenye imani ya kiislam nakula vyakula vyao kwa heshima na upendo tu na si kushiriki na kufanya ibada zao sizijui na siziamini na kuziabudu
 
Back
Top Bottom