ramadhan

  1. African Geek

    Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

    Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa. Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
  2. GENTAMYCINE

    Ukitega kufunga Ramadhan Moja tu jua hujafunga kwa Miaka 83

    Nikiwaambia Dini Ngumu na wenye Kuabudu katika Kweli katika Imani zetu ni 0.5% tu muwe mnaamini na mnanielewa. Haya sasa Wewe unayepanga Kutega Kufunga au Kuruka Siku kadhaa unaambiwa ukifanya hivyo kwa Siku Moko (Moja) tu jua ni sawa hujafunga kwa Miaka 83 hivyo ili Dua yako isikike, ipokelewe...
  3. 5523

    Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

    Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo. Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023. Chanzo: East Africa TV
  4. Analogia Malenga

    Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

    TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS ZANZIBAR RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022 I have the honor to refer to the above subject. Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
  6. Hance Mtanashati

    Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  7. Brain Kingdom

    Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ramadhan Mbwaduke ndio mchambuzi wangu bora kwa upande wa Tv

    Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana. Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery. Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
  9. Lyrics Master

    Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  10. BAKIIF Islamic

    Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu." Haipendezi bint wako wa...
  11. kavulata

    Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  12. JanguKamaJangu

    Kanuni za Bunge baadhi zatenguliwa kutokana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
  13. BAKIIF Islamic

    Darsa ya Ramadhan 1 (2022): Mke na Mume hawaruhusiwi kukutana kimwili, haswa katika mchana wa mwezi wa Ramadhan

    Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
  14. Frumence M Kyauke

    Yanga SC yafyeka wanne akiwemo Ramadhan Kabwili

    Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa. Wachezaji wanne wanaotajwa kuachana na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba...
  15. Jumbe Brown

    Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

    Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo. Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!! Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

    Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba. Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
  17. B

    Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

    RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi. Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi. Yawezekana...
  18. Erythrocyte

    Ramadhan Cup imehujumiwa?

    Haya ni mashaka yangu hasa baada umeme kukatika wakati timu zinajiandaa kuingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park. Hili si jambo la kulichukulia poa , na uchunguzi wetu unaendelea.
  19. Dr Rutagwerera Sr

    Jambo baya ambalo halisemwi na kukemewa wakati wa Ramadhan

    Ningependa kuandika hili juu ya wakati tulionao wa mwezi wa Ramadhan. Nimegundua na kujionea sana wakati huu ndio wakati chakula kingi hupikwa majumbani na watu wakakichezea na kisha kukitupa. Nimealikwa, na hali kadhalika nimejionea kwa jamaa zangu pia namna chakula kingi kikipikwa na...
  20. Erythrocyte

    Somo : Ukipika Chakula Mchana wa Ramadhan unaruhusiwa kuonja lakini usikimeze , baada ya kuonja tema na funga yako itakuwa halali

    Asalam Aleykhum , huu hapa ujumbe kamili .
Back
Top Bottom