umeme wa gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blender

    Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  3. JanguKamaJangu

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa umeme wa gesi kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa. Kamati hiyo imefanya ziara katika Kituo cha Kinyerezi II kujionea uendeshaji...
  4. konda msafi

    Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  5. Replica

    TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
  6. Naipendatz

    Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  7. M

    Tumalizane na miradi ya umeme iliyopo kabla ya kupokea mikopo ya umeme wa jua

    Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani? Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina mbalimbali. Lakini kwanini tusingejikita kukamilisha miradi ilioanzishwa (Bwawa la Nyerere na gesi)...
  8. mshale21

    Umeme wa gesi hatima yake ni nini?

    Taifa Sasa lipo katika mjadala wa umeme wa hydroelectric power ambao n mradi ulioachwa na aliekuwa Raisi wa JMT. Lakin kabla ya huu mradi, kulikua na project ya umeme wa gesi ambao ulikua katika utekelezwaji na uligharimu taifa kwa habar ya fedha, watu kuvunjiwa nyumba zao nk. Baada tu ya...
Back
Top Bottom