Mahakama ya Sri Lanka imewahukumu adhabu ya kifo aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa nchi hiyo, Pujith Jayasundara, na aliyekuwa Katibu wa Wizara ya Ulinzi, Hemasiri Fernando, kwa kosa la uzembe mkubwa ulioruhusu kutokea kwa mashambulizi ya mabomu ya Pasaka mwaka 2019.
Mashambulizi hayo yalitokea...
Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari.
Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda.
JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani
Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu
Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
Wanaukumbi.
IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani
Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz.
🔹 Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa.
Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza
Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
Mzuka wana jamvi ?
Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo.
Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa...
Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo,
Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1
Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police
Kuwaita masikini, kuwa...
Wanaukumbi.
TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
Mamlaka nchini Afrika Kusini siku ya Ijumaa zimeahidi kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na mashambulizi ya kibaguzi (xenophobia) dhidi ya Waghana na raia wengine wa kigeni. Hatua hii inakuja siku moja tu baada ya Ghana kulalamika vikali kufuatia kusambaa kwa video za matukio ya...
Hamjambo!
Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss.
Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
(CHANZO CHA PICHA, REUTERS)
Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208.
Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani.
Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne.
Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran.
Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi mzozo na kuyumbisha utulivu wa Mashariki ya Kati.
Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.