homa ya ini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Diwani Msemo: Ugonjwa wa Homa ya Ini unaambukiza haraka kuliko hata maambukizi ya UKIMWI

    https://www.youtube.com/live/AhPf5oKLqeA Mgeni wetu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo akizungumza na ST BONGO TV.
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Tunatoa Bilioni 200 za mikopo, tunashindwa kutoa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Watu milioni 18?

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ameishauri serikali kubadilisha mwelekeo wa kibajeti katika Sekta ya Afya kwa kuwekeza fedha nyingi zaidi kwenye tiba za kinga (preventative medicine) kuliko tiba za kuponya magonjwa. Ameyasema hayo leo, Mei 12, 2026, alipokuwa akichangia makadirio ya...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Ugonjwa wa homa ya ini unaambukizwa kwa kupiga chafya au kugusana kama anavyosema Babu Tale

    Wakuu nimekaa nafuatilia bunge hapa nikamsikia Babu Tale anasema Ugonjwa wa homa ya ini unaambukizwa kwa kupiga chafya au kugusana. Je, ni kweli?
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za UKIMWI (ARV) hutumika Kufubuza Ugonjwa wa Homa ya Ini

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Facebook likielekeza Kuwa Dawa Ya Kufubuza Ukimwi ARV Inaweza Tumika Kutibu Ugonjwa Wa Homa ya Ini.Jamii check je Ukweli wa Hoja Hizo ni zipi. Mfano Wa Chapisho Hilo Ni kama Unavyo onekana... Sio kila anae tumia (ARV) Ni Muhathirika wa virus vya Ukimwi...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Homa ya Ini na athari zake

    HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii tutaongelea kuhusu homa ya ini...
  7. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ugonjwa wa homa ya ini unatibika na kupona kabisa?

    Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini. Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa? Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sawa mtapimana VVU na kile kifaa, vipi kuhusu UTI sugu, gonorrhea, homa ya ini, etc? Tuache ushamba tuvae condoms

    Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja. Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na partner wako mwingine, na ni mara ngapi utakuwa unaumwa magonjwa haya na kujitubu? Sawa hana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yaitisha kikao cha dharura kujadili kasi ya kuenea kwa Homa ya Nyani Afrika na kwingineko

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023. Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
  12. Mtanzania wa USA

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya ini unazidi kuongezeka, ukiupata sio rahisi kujua kama unao

    UGONJWA WA HOMA YA INI Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa. Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa ya ini akigusana na wewe lile jasho lake pekee unakuwa tayari usha upata tayari. Unaweza kuishi...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila awataka Wananchi kwenda kupima Homa ya ini bure viwanja vya Sinza Darajani

    MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Kulingana na ripoti ya WHO iliyotolewa sanjari na Mkutano wa Kilele wa Ugonjwa wa homa ya Ini utakaofanyika nchini Ureno wiki hii...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza huduma ya upandikizaji wa Ini ifikapo Mwaka 2025

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani: Una ufahamu wowote juu ya ugonjwa huu na jinsi ya kujikinga?

    Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga. Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunyonya lips za mwanamke aliyepaka lipshine hupelekea ugonjwa wa Homa ya Ini

    Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya ini

    Ini ni Kiungo Muhimu Sana kwenye mwili wa binadamu ambacho hufanya kazi zaidi ya 500. Kutokana na sababu mbalimbali Kama matumizi ya dawa yasiyo zingatia ushauri wa wataalam, unywaji mkubwa wa pombe pamoja na maambukizi yanayo sababishwa na virusi, ini hupata shida ya Kuvimba na kutengeneza...
Back
Top Bottom