Cute Wife

Member
Nov 17, 2023
79
196
Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa hawana muda wa kufikiria hasara utakayopata maana umeamua mwenyewe udhalilike, unless umerekodiwa without your knowldge tena kwa kushikiwa bunduki, mbali na hapo usalama wako uko mikononi mwako.

Fuata njia hizi ili usijekuta unatrendi siku moja na kuharibu maisha yako kwakuwa tu ulipenda sana ukajikuta unafanya kila ujinga kama zuzu, ama kwa sababu ulikuwa mzembe ukashindwa kutumia dk. 5 tu kuangalia mazingira yanayokuzunguka.

1. USIJIREKODI, MSIJIREKODI iwe ni kujiangilia mbususu/mkuyeye unafananaje au kunogesha mapenzi, USIJIREKODI!

Usije kurogwa hata ukiwa umezama hadi kwenye tope, huoni huambiliki kwenye mapenzi USIJIREKODI kwa lengo la kumtumia huyo mtoto wa mama mkwe aangalie akiimisi, akiwa na shida sana ya kuiona akufate ulipo!

Unataka kuangalia kama mbususu ipo safi au kuna ka hali kamebadirika USIJIREKODI, unataka kuangalia mkuyeye kama unamtoshea yule manzi au lah USIJIREKODI! Unataka ugundue nini? Kanunue kioo hata kile cha buku kazi yake hiyo iwe tu ukitaka kuangalia maeneo unajiona, USIJEREKODI.

Mnaweza kujidanganya hamtavujisha bla blaa blaa, ila atakayekuja kuvujisha anaweza kuwa fundi uliyempelekea ataengeze simu ulipoimwagia maji bahati mbaya, na wabongo mnavyojua kutumia michina na kopi mtadhalilika. Wa kuvujisha anaweza kuwa rafiki yako, umempa simu siku acheze gemu huyo kaende kwenye picha kakutana na video yako akajihamishia umekwisha, ACHA KABISA MCHEZO WA KUJIREKODI!

2. Chunguza vizuri chumba ulichoenda kufanya jambo lako kama kuna kamera imetegeshwa.
Aangalia sehemu zenye vioo kichaoangalia kitandani na cha bafuni, kwenye swichi za umeme, taa/bulb zinazokuwa kitandani au kwenye paa, kama kuna mdoli au kitu chochote cha urembo kichuze vizuri.

Ili kujua kama kioo kilichopo kwenye chumba chako ni 'TV' kwenye chumba kingine au ni dirisha la mtu kuangalia kwenye chumba kingine fanya hili zoezi, nyoosha kidole (chochote) kiguse kabisa kwenye kioo, ikiwa kuna nafasi kati ya kidole chako na reflection yako hiko kioo ambacho mtu hakuoni upande wa pili, ikiwa hakuna nafasi kati ya reflection yako na kidole chako ujue hiyo ni 'TV', upande wa pili wanaona kila kinachoendelea kwenye chumba chako.

*Usifurahie na kushadadia sana unapoona connection ya mtu imevuja, jiweke kwenye viatu vyake na ufikirie vipi kama ni wewe au ni mtu wako wa karibu sana, ungeshadadia? Ndio utende hivi hivi inapotekea connection ya mtu inapovuja

Mwisho kabisa ukumbuke, kuwa na porn au picha/video ya utupu kwenye kifaa simu yako ni kosa kisheria, hata kama umejirekodi ili uthaminishe uumbaji wa Mungu ukikutwa nayo unawajibika kisheria. Chukua hatua!
 
Unadhani watakuelewa basi!

20240316_003617.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
SASA WALE WADAU WA MANGE ITAKUWAJE, MAANA ANSIKIA KUNA MALIPO
 
Back
Top Bottom