homa

Homa Bay County is a county in the former Nyanza Province of Kenya. Its capital and largest town is Homa Bay. The county has a population of 1,131,950 (2019 census) and an area of 3,154.7 km2. Lake Victoria is a major source of livelihood for Homa Bay County. It has 40 wards, each represented by an MCA to the assembly in Homa Bay town as its headquarters.
Homa Bay County has eight sub counties just like the constituencies.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay yatikiswa na ghasia: Watu wawili wafariki, Polisi 7 wajeruhiwa, na watu 22 wakamatwa

    Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi. Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay: Goonism, Kauli za Vitisho na Kengele ya 2027

    Matukio yaliyoshuhudiwa Homa Bay wakati wa ziara ya Linda Mwananchi mnamo Agosti 16, 2026, yanapaswa kuwa zaidi ya habari ya siku moja. Kwa mwananchi, yanapaswa kuwa kengele ya tahadhari tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ziara hiyo ilikumbwa na vurugu, barabara zikazuiwa kwa mawe, magari...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama Homa Bay Iko Yemen? Barabara Zafichua Hali Halisi Ya Maendeleo

    Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni. Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  6. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

    Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili...
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania CCM kuna Yuda au ni homa ya urais

    Naombeni majibu Uzi tayri.
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida mwili kuchoka, kuhisi homa na mafua baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia?

    Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati, homa ya nguruwe inafirisi wafugaji

    Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
  10. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Homa ya Ini na athari zake

    HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii tutaongelea kuhusu homa ya ini...
  13. Surya

    JamiiForums Tanzania Wajuzi msaada dawa ya asili kutibu Homa ya Matumbo (Typhoid)

    Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ?? Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
  14. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa unaopewa jina la infection?

    Kuna nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa kali inayo ambatana na muwasho kama wa tete kuwanga? Hebu tusemezane.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Wasomi Kusoma VETA, Japo ni Hoja Chungu, Ndio Ukweli Wenyewe Kama Kidonge Kichungu, Ndicho Kinachotibu Homa!. VETA Ndio Tiba ya Joblessness!

    Wanabodi, Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA. Shuhudia hizi Testimonials.... https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, kuwa wahitimu wa Chuo Kikuu, wakasome VETA, imepokelewa kwa hisia tofauti, zenye sintofahamu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vipi mmenusurika homa na kikohozi?

    Wakuu habari zenu! Nimechoka sana; nimekuwa nikiugua homa na kikohozi tangu Alhamisi, hivyo sikuweza kupita kwenye vijiwe vyangu. Leo na jana nimepata simu nyingi kuulizia kama nitafika kazini kesho. Naomba unisaidie pesa kidogo kwa ajili ya kujitibia, maana naumwa mimi na wanangu pia...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbukizi ya homa za uchaguzi CCM 2020

  20. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Back
Top Bottom