Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.
Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa jamii imejitengenezea masharti marahisi au tafsiri mpya ili kujustify ngono zembe nikimaanisha kujamiiana kavukavu na bila kupima, kujamiiana na wapenzi wengi tena bila kinga etc, kibaya zaidi hizi myth zimezoeleka na kuwa ndiyo njia mbadala utafikiri zimethibitishwa kisayansi wakati ni believe potovu zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi (wrong myth).
Sasa hivi kuna wimbi kubwa la wanawake wengi hawataki matumizi ya condom na wanaume pia. Wanawake wanajustify kwa kusema, eti zinawawasha, zinawachubua, zina-allergy, wanaume wanasema hawasikii stimu yeyote kabisa.
Sasa wamejitengenezea myth ya kupaka mafuta kama mbadala, na nakuambia binti anajihamini kabisa, "eti mimi sitaki condom tupake mafuta mengi" na wanajihamini 99% mafuta ni kinga, eti hatari ni michumbuko, mafuta ni kinga tosha kwani yanazuia michumbuko. (Kumbuka sayansi ilisema mafuta ya kawaida yanaongeza jotoridi wakati wa kujamiiana kwa hiyo kuongeza uwezekano wa michumbuko na kupata maambukizi.
Wengine wamejikita kwenye kupaka mate, eti kwa sababu mate ni kimiminika cha mwili basi kinatoa natural lubricant ya kutosha kabisa na ni kinga madhubuti tosha.
Matumizi ya K-Y jelly ndo husiseme, yaani ni kama vile yamekuwa Kinga mbadala, mtu akitumia KY-Jelly anajefeel well protected 100%.
Kuna wanawake wengine wanasisitiza na kutoa masharti ya kumwaga nje eti hiyo ni kinga dhidi ya maabukizi ya ukimwi ukiondoa njia ya uzazi, wanasema eti zile mbegu na uteute ndio umebeba wadudu (HIV virus), hawajui hata mnapoanza tu romance mwili wa mwanaume hasa mwanamke unakuwa umeshatoa uteute wa kutosha kabisa.
Nafikiri vitengo husika vya kuthibitisha ukimwi (TACAIDS, MOH, HIV control programs) kwa sasa vimekosa ubunifu, vimeacha health education na health promotion zile za zamani kwani zilikuwa ni relevant, consistent na coverage yake ilikuwa kubwa. Nilitegemea sasa wawe proactive-wajikite kupinga na kuzuia hizi myth za ajabu kwani wengi wanaopata maambukizi mapya ni kwa sababu ya kuamini kwenye hizi wrong myth ambazo jamii imeanza kuziikubali kinoma na zimekuwa ni sehemu ya our community norms.
Je wewe una mawazo gani kuhusu hizi myth za kujikinga na maambukizi ya HIV/AIDS na ulishakumbana na moja kati ya hizi? Je ulikubali au ulikataa?