vyuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Serikali: Rushwa ya ngono vyuoni inazalisha wataalam wasio na vigezo

    Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
  2. Equation x

    Je, kuna jitihada zozote za kutengeneza maprofesa wengi huko vyuoni?

    Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana. Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi...
  3. Wordsworth

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
  4. sky soldier

    Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  5. kavulata

    Pesa za UVIKO ziende hadi vyuoni

    Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi kwenye vyuo vya kati Na vyuo vikuu ili kusaidia kuweka mazingira ya kupokea wanafunzi wwngi...
  6. M

    Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  7. kavulata

    Maprofesa bakini vyuoni kulinda heshima zenu dhidi ya wanasiasa

    Jamii inawaheshimu sana wasomi hasa maprofesa, jamii inadhani kuwa professor sio mtu wa mchezomchezo, anafahamu na kujua na kuweza kila kitu na kila jambo. Inapotokea tukio la professor kubezwa, kuzomewa na kutukanwa au kushindwa kufanikisha jambo inawashangaza sana. Sio jambo la nadra jamii...
  8. D

    Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

    Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya. Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo. Kila Mara vijana...
  9. Mtu na nusu

    Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

    Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini. Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo. Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na...
  10. Clark boots

    Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

    Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu, Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi. Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
  11. D

    Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

    Naomba nianze kwa kusema yafuatayo; Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi! Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa! Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto! Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
  12. mud-oil-chafu

    Wanafunzi wengi hawataripoti vyuoni kwa sababu hizi

    Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +. Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza huku hela ya books and stationary 200000 ndo huwa inawapa confidence so wengi palehiwa wanakata kaka...
  13. Mr Excel

    Vijana mnaotoka Vyuoni kuweni makini

    Vijana mnaotoka vyuoni kuweni makini. Unaomba kazi unaenda kwenye usaili unashushiwa mvua ya maswali kama vile upo mahakamani. Unaanza kazi bosi wako anaua ndoto zako na kipaji chako kupitia mshahara mnono, posho, vyeti vya utendaji bora wa mwaka na hata kukupa vyeo vingine fake. Mwisho wa...
  14. E

    Wahadhiri waliostaafu na kuajiriwa kwa mikataba ni kero vyuoni

    Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi...
  15. M

    Elimu ya Dini muarobaini wa mmomonyoko wa maadili na utovu wa nidhamu mashuleni na vyuoni

    Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi ELIMU YA DINI hili ni Somo ambalo litakuwa...
  16. Linguistic

    Aina ya wasomi wetu waliojazana vyuoni

    Msomi Wa Chuo kikuu Hajui kutofautisha Kati ya Boom na mkopo Unaotolewa na HeSLB? Tunaelekea Wapi Wakuu Kama Taifa Linalojikomboa?
  17. MaalimJohn

    SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  18. GENTAMYCINE

    Je, hii 6th Sense ya Mtu Jasusi (Njagu) huwa anakuwa amezaliwa nayo au anafundishwa huko Vyuoni CIA na MOSSAD?

    Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia. Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
  19. BAAJUN POET

    SoC01 Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono kwa watoto na vijana: Madhara na jinsi ya kukabiliana na vitendo

    Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla. Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
  20. Livingson1

    Somo la ujasiriamali mali lipewe kipaumbele mashuleni pamoja na vyuoni nchini Tanzania ili kupunguza changamoto za ajira kwa vijana

    Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
Back
Top Bottom