ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya Kimatibabu Kwenye Kesi ya Ubakaji: Umuhimu na Madhaifu Yake

    Kipimo sahihi na kikuu cha kisheria na kimatibabu kwenye kesi ya ubakaji ni uchunguzi wa kina wa kimatibabu (Medical Examination) unaofanywa na daktari aliyeidhinishwa, akitumia fomu maalum ya serikali inayojulikana kama Fomu ya Polisi Namba 3 (PF3). Uchunguzi huu unahusisha ukaguzi wa mwili...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hakim matatani kwa tuhuma za ubakaji

    Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha. Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris Saint-Germain kwa kumbaka nyumbani kwake katika eneo la Paris mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 24. Hakimi...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na uvamizi wa kiarabu Pwani ya Afrika Mashariki ulileta madhira sio tu ya kuchukuliwa ardhi na utumwa ila pia ubakaji, ulawiti na castration

    Je hii ndio imekuwa sababu ya kuu ya wanawake na wanaume wa pwani kupenda michezo ya kuingiliana kinyume na maumbile?
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

  6. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mirabel ahukumiwe kwenda jela kwa kutoa ushahidi wa uongo kwenye madai yake ya ubakaji

    Mwaka 2026 umeendelea kuonyesha namna mitandao ya kijamii ilivyo na nguvu katika kuunda mijadala ya kisheria na kijamii barani Afrika. Kisa cha TikToker mmoja kutoka Nigeria kwa jina la Mirabel aliyedai kuwa mwanaume mmoja alimvamia na kisha kumbaka, huku akionesha kuwa amedharirishwa kama...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wa jamii ya kiarabu na kihindu wanakamatwa sana na makosa ya ubakaji na unyanyasaji kingono huko ughaibuni?

    Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

    Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Ubakaji, ulawiti na kubusu mtu akiwa hataki huo ni ukatili wa kingono

    “Ukatili umegawanyika katika maeneo mengi, nieleze machache tu, la kwanza ni ukatili wa kimwili. Ukatili wa kimwili ni kitendo cha kudhamiria kufanya vurugu na kutumia nguvu ili kumsababishia mtu madhara ya kimwili au mateso na haya yapo mengi. Kupigwa kupita kiasi, wengine wanachomwa moto...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Vitendo vya Ubakaji na Ulawiti vimepungua kwa asilimia 6.3 na 19 mwaka 2024

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii. Akiwasilisha makadirio ya...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Njia zilizotumika kulinda ubakaji karne ya 19

    Katika kipindi cha enzi za kati (Medieval), “mikanda ya usafi wa mwili” (chastity belts) mara nyingi huchukuliwa kuwa njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake. Hata hivyo, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa lengo lake kuu lilikuwa ni kuwalinda wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na katika...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa miaka 14 ahukumiwa kuchapwa Viboko kwa kumbaka Mtoto wa miaka 7 Gairo

    Mahakama ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Aprili 4, 2025 imemhukumu adhabu ya viboko 5 gerezani Chrispin Matei Malanda (14) mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Gairo, kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 7 anayesoma darasa la pili kwenye moja ya shule ya msingi iliyopo wilayani...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

    Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe wamechafukwa.
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
Back
Top Bottom