taharuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki Chato: Mamba aliyekamata mtu anatishia maisha watu, mbunge Maghembe yupo busy na biashara yake ya mabasi.

    Kuna shida kubwa sana ya maji Chato. Maji hayatoki kwenye mabomba. Upatikanaji wa maji ni wa shida sana. Mbnge wa Chato Kasikazini yupo busy na biashara yake ya mabasi. Wananchi wanaenda kuchota maji ziwani akina mama na akina baba wanaenda kuchota maji ziwani. Kuna mamba alikamata mtu ambae...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Tume ya Jaji Kisanga na Tuke ya Jaji Warioba

    Tume ya Jaji Kisanga(white paper) ilituvusha bila taharuki lakini tume ya Jaji warioba ilituletea chaos Ukiniambia ni ipi ilikuwa tume bora nitakwambia ni ile iliyotuachia amani yetu Tanzania.
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe choko/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Acheni taharuki , Emmanuel Nchimbi yu hai, mnataka aongee hadharani kama nani na kwa manufaa ya nani?

    Hello! Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia amejiuzulu. Nchimbi kafanya usaliti mkubwa kwa Taifa, kosa lake ni la uhaini. Yuko hai ila hatapewa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa Kifo ni kifo tusilete taharuki. Lazima kilete taharuki. Poleni familia za wote waliopoteza wapendwa wao in this era of political turmoil

    Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya...
  6. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Lissu akifungwa kwa uhaini kutakuwa na taharuki kubwa, maandamano na vurugu za kiusalama.

    Ikiwa Makamu Mwenyekiti (au kiongozi mkuu) wa Chadema, Tundu Lissu, atafungwa kwa kosa la uhaini, hali ya hewa ya kisiasa nchini Tanzania inatarajiwa kukumbwa na taharuki kubwa, migawanyiko ya kiitikadi, na shinikizo kubwa la kimataifa. Kesi hii inayomkabili, ambayo kwa sasa inaendelea katika...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutokea kwa Bikira Maria ukutani kwaleta taharuki ya mahujaji na nyumba kuvunjwa huko Kisii, Kenya!

    Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Sanduku lazua taharuki Mwenge

    Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu. Je ni kweli muliopo hapo mwenge? Ngoja niwawekee na link musikilize na kusoma wenyewe Facebook
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wapinga Uwekaji wa Meza za Wamachinga Mtaa wa Kongo

    Taharuki imerukibuka mapema asubuhi ya jana Julai 26, 2025 katika Mtaa wa Kongo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wa eneo hilo kugomea zoezi la kupangwa meza za wafanyabiashara ndogondogo maarufu wamachinga kipande cha kutoka Mtaa wa Uhuru hadi Mtaa wa Mbaruku Zoezi hilo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ninadhani hilo somo au module aliyokuwa anafundisha Kaijage ifutwe huko UDOM ili kuepusha taharuki baadae

    Kama kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kupitia hiyo module aliyokuwa anafundisha nadhani tutumie busara kuifutilia mbali ili kuepusha wahadhiri wengine kuingia mtegoni na kujikuta wanafanya "ugaidi" bila kujua. Hatuwezi kuwa na masomo yanayosababisha uchochezi vyuoni. Futilia mbali hizo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  14. UTPC

    JamiiForums Tanzania Sauti za vilio, hofu na taharuki ni simulizi za kawaida kwa wachimbaji wadogo maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo - Shinyanga

    Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara. Katika kipindi cha miaka...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za Taharuki: Tuchague Amani au Migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania Wazalendo kuna wakati tunapaswa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa baadhi ya siasa zinazofanywa na Ufipa kwa sababu Taifa letu lina thamani kubwa kuliko maslahi ya kisiasa ya watu wachache. Tanzania imejengwa katika msingi wa amani mshikamano utu na kuheshimiana HII NI...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna taharuki inatengenezwa Dar? Kuna magari ya Polisi yanazunguka mitaani

    Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine. Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watano mbaroni kwa kuzua taharuki kuibiwa Nyeti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu anayedaiwa akigusa nyeti zako zinapotea azua taharuki Tunduma

    Kutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri. Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
Back
Top Bottom