Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.
Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi.
Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo.
Ameweka...
Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya kijamii.
Takwimu zinaonesha takribani wahadhiri zaidi ya ishirini (20) wa vyuo vikuu Tanzania kwa...
Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;
Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!
Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!
Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utumishi wa umma.
UDOM imesema mtumishi Petro Bazil alisimamishwa majukumu yake tangu Oktoba 25, 2021 hadi uchunguzi utakapokamilika. Udom imesikitishwa na usumbufu uliojitokeza.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.