vyuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  2. T

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21. Mtoto akisoma...
  3. BARD AI

    Iran: Polisi wasambazwa Vyuoni kudhibiti wanaoshinikiza kuondolewa Utawala wa Kiislam

    Kifo cha Mahsa Amini msichana wa miaka 22 anayedaiwa kuuawa na Askari kutokana na kutoficha nywele zake kwa Hijab, kimeamsha hisia kali za wanawake na wasichana wanaoshinikiza kuondolewa kwa Utawala wa Kiislam. Licha ya Serikali kuagiza uchunguzi, bado kumekuwa na mashinikizo ya raia na vikundi...
  4. JanguKamaJangu

    Nigeria: Rais asema rushwa ya ngono vyuoni imekithiri

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo. Ameweka...
  5. Saint Leo

    Kuna haja ya kuwa na mtu wa Employment opportunities kwenye kila college vyuoni

    Employment officer wa college. Habarini wanajukwaa. Najua tatizo la ajira kwa vijana wanaotoka vyuoni ni janga kwa taifa hili. Hii inatokana na sababu kwamba wahitimu wengine wanamaliza chuoni pengine hata bila kujua ni sehemu gani wanaweza omba nafasi za kazi ambazo marachache chache zinaweza...
  6. kavulata

    Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
  7. E

    SoC02 Jinamizi: Rushwa ya ngono vyuoni

    Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya kijamii. Takwimu zinaonesha takribani wahadhiri zaidi ya ishirini (20) wa vyuo vikuu Tanzania kwa...
  8. Roving Journalist

    Serikali: Rushwa ya ngono vyuoni inazalisha wataalam wasio na vigezo

    Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
  9. Equation x

    Je, kuna jitihada zozote za kutengeneza maprofesa wengi huko vyuoni?

    Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana. Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi...
  10. Wordsworth

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
  11. sky soldier

    Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  12. kavulata

    Pesa za UVIKO ziende hadi vyuoni

    Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi kwenye vyuo vya kati Na vyuo vikuu ili kusaidia kuweka mazingira ya kupokea wanafunzi wwngi...
  13. M

    Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  14. kavulata

    Maprofesa bakini vyuoni kulinda heshima zenu dhidi ya wanasiasa

    Jamii inawaheshimu sana wasomi hasa maprofesa, jamii inadhani kuwa professor sio mtu wa mchezomchezo, anafahamu na kujua na kuweza kila kitu na kila jambo. Inapotokea tukio la professor kubezwa, kuzomewa na kutukanwa au kushindwa kufanikisha jambo inawashangaza sana. Sio jambo la nadra jamii...
  15. D

    Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

    Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya. Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo. Kila Mara vijana...
  16. Mtu na nusu

    Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

    Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini. Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo. Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na...
  17. Nangose 1

    Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

    Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu, Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi. Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
  18. D

    Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

    Naomba nianze kwa kusema yafuatayo; Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi! Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa! Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto! Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
  19. mud-oil-chafu

    Wanafunzi wengi hawataripoti vyuoni kwa sababu hizi

    Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +. Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza huku hela ya books and stationary 200000 ndo huwa inawapa confidence so wengi palehiwa wanakata kaka...
  20. Mr Excel

    Vijana mnaotoka Vyuoni kuweni makini

    Vijana mnaotoka vyuoni kuweni makini. Unaomba kazi unaenda kwenye usaili unashushiwa mvua ya maswali kama vile upo mahakamani. Unaanza kazi bosi wako anaua ndoto zako na kipaji chako kupitia mshahara mnono, posho, vyeti vya utendaji bora wa mwaka na hata kukupa vyeo vingine fake. Mwisho wa...
Back
Top Bottom