ujasiriamali

  1. under timer

    Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

    Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata. Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige...
  2. emmarki

    Nahitaji anayeweza kufundisha ujasiriamali

    Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga. Wananunua carton ya sabuni ya unga mfano doffi wanakopeshana, baada ya wiki aliyekopeshwa anarejesha 2000 kwa kila pakiti ya...
  3. amate

    Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF. Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba. Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya...
  4. S

    Changamoto za Vijana Katika Ujasiriamali

    Ajira imekuwa changamoto kubwa kwa vijana katika siku hizi, Serikali inaendelea kuhamasisha vijana kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao wenyewe ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, vikwazo vya kifedha vinavyowakabili vijana hawa vimekuwa kikwazo kikubwa...
  5. S

    Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  6. Uhakika Bro

    Ujasiriamali ufundishwe katika day cares na kindergarten. At least ile 'how it is made'

    Wadau wa elimu. Huwa tunaanzia kufundisha watoto a e i o u Kisha ndio babebi... halafu ndo mambo ya 'Baba anakula nzige, aliyeng'ang'ania jani shambani'. Nani alisema kuwa ni lazima mambo yaende hivyo? Mfano tukiamua kuanzia kumfundisha mtoto namna jet engine ya ndege inavyotengenezwa halafu...
  7. G

    Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

    💥SOKO LETU LEO ONLINE💥 🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥 Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto ya...
  8. MASTERCHIEF 255

    Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  9. Uhakika Bro

    Mafuta ya kupaka, kindoo hadi pipa zima

    Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam. Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project. Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa mapipa.. Mafuta ninayohitaji ni cosmetic grade. Yale mtu anaweza changanya na viinilishe au dawa...
  10. Pinda Nhenagula

    Naomba ushauri tafadhali

    Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu. Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Milioni 3 kwa Vikundi vya Ujasiriamali

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake Kata kwa Kata huku akifanya Mikutano ya hadhara kwa lengo la kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa Ilani ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe...
  12. Mtu Mweusi I

    Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu. Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
  13. Jackline Malavanu

    SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  14. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  15. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kupata Kwa Whatsapp 0656388678
  16. KJ07

    SoC03 Mabadiliko ya Ujasiriamali: Safari ya Mwanamke Mjasiriamali katika kuinua Wanawake wenzake

    Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
  17. Senior masai

    Ujasiriamali

    Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
  18. Mwl.RCT

    Mwanachama bora wa 2022 | Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

    Mimi kama mwanachama wa Jamiiforums, nimepokea zawadi kwa mikono miwili na nimefurahi sana kwa kupata heshima hii. Hii imenipa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika mijadala mbalimbali ya JF. Hili ni jambo la kipekee kwangu kwa sababu hii ni mara yangu ya kwanza kupata heshima hii tangu...
  19. Uhakika Bro

    Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  20. Equation x

    Ujasiriamali unahitaji uvumilivu mkubwa

    Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo changamoto za biashara uanza; unakuta umewekeza mtaji labda...
Back
Top Bottom