jasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila...
  2. GENTAMYCINE

    Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

    Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako" Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo. Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia mahusiano hayo mara kwa mara humu JF. Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi. Ukiyaita mahusiano ya...
  4. M

    Jasusi anayejinasibu kuwa shushushu mbobebezi, alishindwaje kujua ukweli wa Sifika Daniely

    Yericko Nyerere, aliandika huko Facebook Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa...
  5. Replica

    Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  6. PakiJinja

    Jasusi wa Iran adakwa Israel

    Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa...
  7. technically

    Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

    Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana. Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga...
  8. Victoire

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  9. GENTAMYCINE

    Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  10. D

    Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

    Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman...
  11. chiembe

    Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  12. Moronight walker

    Jasusi wa Rwanda akamatwa DR Congo, yupo jela sasa

    Anaitwa Fortunat Biselele Alikuwa ni mshauri wa Rais wa Congo bwana Felix. Fortunat Biselele alikuwa inner circle ndani ya serikali ya Congo. Alikuwa anamshauri wa rais Felix kwa mambo MENGI. Walimgundua kwa kupeleka siri za maongezi ya Serikali ya Congo na kwenda kwa PK. Na walipopekua...
  13. Mzalendo Uchwara

    Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

    Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC. Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC. Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha...
  14. IBRA wa PILI

    Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  15. M

    Jasusi wa kiuchumi na demokrasia

    Samia Suluhu Hassan Jasusi wa diplomasia na Uchumi. Amekataa kuwa mrithi wa suala la uhaba na bei kubwa ya Sukari, miezi ya kiangazi Tanzania sukari huwa kama kaa la moto. Amegoma kabisa kuwa mrithi wa sera mbaya za uchumi, utekelezaji mbaya wa diplomasia yetu, Serikali kuwa na juhudi ndogo...
  16. SANCTUS ANACLETUS

    Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

    Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo “Roho ya Korosho” ilivyopelekea Membe kukosa donge la pesa zinazofikia paundi Bilioni Saba za Common...
  17. Richard

    Marekani hawajaiacha Afghanistan kwa bahati ambaya. Huenda wakamtumia jasusi wao aliyekuwa makamu wa Rais, Amrullah Saleh

    Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul. Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae amekimbilia Oman amedaiwa kutoroka na kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki kuu ya Afghanistan na magari...
  18. GENTAMYCINE

    Je, hii 6th Sense ya Mtu Jasusi (Njagu) huwa anakuwa amezaliwa nayo au anafundishwa huko Vyuoni CIA na MOSSAD?

    Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia. Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
  19. S

    Jasusi Mbobezi ni lini atarudi? Nyalandu amerudi Nyumbani - Je, umeona TARGET?

    Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini. Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga Nyalandu kuhusu NYIMBO ISIYOIMBIKA UGENINI? Huyu aliendea Urais Chadema akajitahidi sana kutaka...
  20. Uzalendo wa Kitanzania

    Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
Back
Top Bottom