Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.