Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;

Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!

Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!

Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi litawale mitandaoni ndipo tufanye jambo!

Yote haya yanasababishwa na kutegeana kufanya maamuzi magumu either baina yetu watendaji au baina ya taasisi na taasisi!

Mathalani katika rushwa ya ngono vyuoni, Uongozi wa vyuo umekuwa ukitegea sana kufanya maamuzi wakiamini ni kazi ya TAKUKURU, Pia Takukuru nao wamekuwa wakisubiri taarifa ya vyuo husika ili kufanya maamuzi kwasababu hilo ni jambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote (Mwanafunzi, chuo na Takukuru)

CHANGAMOTO NI ZIPI KATIKA HILI

  • Kwanza kabisa ieleweke kwamba mwanafunzi wa elimu ya juu hafungamani na sheria ya mtoto chini ya miaka 18! Hivyo maamuzi yoyote anayofanya mwanafunzi wa chuo kikuu huhesabika ni maamuzi ya mtu mzima yanayolindwa chini ya katiba ya jamhuri ya muungano kama ilivyo kwa raia yoyote mtu mzima! Hivyo sheria ya faragha inachukua nafasi kubwa!
  • Tatizo jingine ni uwajibikaji wa mwanafunzi katika masomo yake (UTORO na UKILAZA), Hili lipo kwa wafunafunzi wa jinsia zote, hivyo linatoa mianya ya mazingira ya kusaidiwa kufaulu kwa kutoa chochote kitu (Ngono kwa wanawake na pesa kwa wanaume)
  • Shida nyingine ni ufukara (umasikini wa kugharamia masomo) Hili huongozwa na hofu ya kufeli/ kudisco. Mwanafunzi anapobanwa na sheria ya kudisco ni hasara kubwa sana kwake na familia, Hawezi kumudu kulipa gharama za kurudia mwaka, Hili jambo ni gumu sana kujihudumia kwa kurudia mwaka, hivyo hana namna zaidi ya kutoa rushwa ya pesa au ngono ili avuke salama
  • TATIZO jingine ni ucheleweshwaji wa MISHAHARA kwa wakufunzi hususani hawa (Tutorials)! Ifahamike kwamba hawa ni binadamu wanahitaji kuvaa, kula, kunywa na kuhonga, sasa mkufunzi kama hana pesa ya kuhonga Malaya huko mtaani unazani kinachofuata nini kama siyo kutumia mamlaka yake kuwala wanafunzi! (Tumia ulichonacho ili upate ukitakacho theory)
  • Utaratibu mgumu wa kuhama vyuo pia ni changamoto nyingine
  • Kutokuwepo kwa certificate ya kila mwaka wa masomo (annually certificate) ili hata anaeamua kuacha chuo ajue anaondoka na chochote kitu
KIPI KIFANYIKE!

Wataalam na wadau wa elimu chini ya wizara ya elimu wafanye kikao cha pamoja kujadili solution zifuatazo!
1. Mkufunzi wa wanafunzi (Tutorial) apunguziwe maamuzi juu ya hatima ya mwanafunzi, ikiwezekana mitihani ya mwisho (final exam) ya wanafunzi waliofeli (below maksi ) ipitiwe na walimu wengine kabla ya kutangazwa rasmi.

2. Pia kuwepo na ripoti ya ufaulu ambayo mwalimu atapimwa nayo kwa ufundishaji kwa matokeo chanya au hasi! Na endapo 30%-50% ya wanafunzi kama itaonekana wamefeli kwenye hilo somo isihesabike kufeli Bali pia itafsilike mwalimu haeleweki! Na awajabishwe mwalimu kwa kutofundisha vizuri.
3. Sheria za vyuo (by laws) zifute sheria ya KUDISCO/ RETAKING! Bali wabakishe kanuni ya CARRIES FORWARD! Yaani mwanafunzi aliyefeli course work X, aruhusiwe kuendekea mwaka wa pili hadi wa mwisho lakini asipewe cheti hadi pale atakapoclear somo husika!
3. Mwanafunzi asiweze kucarry FORWARD somo ambalo siyo CORE SUBJECT ! Mfano, mwanafunzi anaesoma course ya KULIMA kama core subject, Asikamatwe na kucarry FORWARD somo la mchaka mchaka ( minor course ibaki kuwa ni additional course lakini isimnyime mwanafunzi kupewa cheti cha course husika
4. Kila mwaka wa masomo wanafunzi wapatiwe cheti cha NTA LEVEL 1,2, 3,4,5,6,7 etc hii ni kutokana hawa watu wamelipa ada kila mwaka, na pale wanapopata changamoto za kuendelea na mwaka unaofuata basi angalau wapate cheti hicho cha annually (ni haki kabisa).
Ifahamike siyo lazima hadi mwanafunzi amalize miaka yote chuoni ili apewe cheti cha mwisho.
5. Cheti cha mwisho kitolewe na TCU kama ilivyo kwa NACTE! kuwepo kitengo ndani ya TCU Kitakachopokea taarifa kutoka kila chuo, yaani kila chuo lazima wawe na database acaounti watakayotuma matokeo final TCU, Then vitaandaliwa vyeti huko na kutumwa vyuoni au kwa wahusika kama softcopy!
6. Kama wanaofeli itaonekana Kuna ulazima wa kurudia masomo, basi wapunguziwe ada ya kurudia au wasilipe ada kabisa
7. Iruhusiwe mwanafunzi kuhama chuo kwa utaratibu rahisi
8. Courses work zote ziwe na ratiba maalum inayojulikana na chuo husika, Mwalimu asijiamulie tu mitihani kwa kushtukiza!

Yapo mengi ya kubadilisha lakini angalau hayo yatapunguza unyanyasaji wa kingono na HAYATAMSHURUTISHA MWANAFUNZI NA KUTWEZA UTU WAKE kiasi cha kutoa rushwa ya ngono!

Mwisho! Ngono ni hiari kulingana na makubaliano, Sheria kandamizi ndiyo chanzo kikuu, tukiondoa mazingira hayo kwanza, RUSHWA ya pesa na ngono itapungua na kuondoka yenyewe vyuoni!

Ni maoni yangu! Karibuni tujadili!
 
Tuna mambo mengi sana ya kujadili kama nchi kuliko huu upuuzi.

Hizo ngono wanafanya wenyewe tena kwa hiari yao hata kama hakuna rushwa.

Mtu akishafika chuo tunaamini ni mtu mzima anaejitambua na anaweza kujisimamia mwenyewe. Sasa kama tutaanza kuahangaika ili asigongwe sijui ni taifa la watu wa aina gani hili.
 
Zipo changamoto pia
 
Umeandika maelezo mengiii of which haitafanya kazi uliyosema.

Jibu ni hili: Mkufunzi akikamatwa anamtomba mwanafunzi au akanaswa anazidi sisitiza anataka ngono anafukuzwa kazi na kupelekwa mahakamani mara moja. Huo upuuzi utaisha
 
Niliwahi kunufaika na rushwa ya ngono kwa Mwalimu wa Kike, wala sikuhisi kunyanyasika.

Hivyo basi, hata hao mademu unaodhani unawatetea nikuhakikishie tu wengi wao ni fahari kwao kuliwa na mwalimu…. achilia mbali FAIDA ya upendeleo.
 
Umeandika maelezo mengiii of which haitafanya kazi uliyosema.

Jibu ni hili: Mkufunzi akikamatwa anamtomba mwanafunzi au akanaswa anazidi sisitiza anataka ngono anafukuzwa kazi na kupelekwa mahakamani mara moja. Huo upuuzi utaisha
Wataanza kuliwa kwenye gari sasa
 
Mambo mengi ulliyoandika hayaendani na hali halisi, kama vyuo vimeshindwa kujiendesha bila integrity vifungiwe tu, haya yakuanza kufanya vyuo kama NECTA na NACTE ndio mtakamilisha kuharibu mfumo wa elimu kuanzia Shule ya Msingi(ambapo umeshaharibiwa 100%) mpaka PhD.
 
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;

Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!

Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!

Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi litawale mitandaoni ndipo tufanye jambo!

Yote haya yanasababishwa na kutegeana kufanya maamuzi magumu either baina yetu watendaji au baina ya taasisi na taasisi!

Mathalani katika rushwa ya ngono vyuoni, Uongozi wa vyuo umekuwa ukitegea sana kufanya maamuzi wakiamini ni kazi ya TAKUKURU, Pia Takukuru nao wamekuwa wakisubiri taarifa ya vyuo husika ili kufanya maamuzi kwasababu hilo ni jambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote (Mwanafunzi, chuo na Takukuru)

CHANGAMOTO NI ZIPI KATIKA HILI

  • Kwanza kabisa ieleweke kwamba mwanafunzi wa elimu ya juu hafungamani na sheria ya mtoto chini ya miaka 18! Hivyo maamuzi yoyote anayofanya mwanafunzi wa chuo kikuu huhesabika ni maamuzi ya mtu mzima yanayolindwa chini ya katiba ya jamhuri ya muungano kama ilivyo kwa raia yoyote mtu mzima! Hivyo sheria ya faragha inachukua nafasi kubwa!
  • Tatizo jingine ni uwajibikaji wa mwanafunzi katika masomo yake (UTORO na UKILAZA), Hili lipo kwa wafunafunzi wa jinsia zote, hivyo linatoa mianya ya mazingira ya kusaidiwa kufaulu kwa kutoa chochote kitu (Ngono kwa wanawake na pesa kwa wanaume)
  • Shida nyingine ni ufukara (umasikini wa kugharamia masomo) Hili huongozwa na hofu ya kufeli/ kudisco. Mwanafunzi anapobanwa na sheria ya kudisco ni hasara kubwa sana kwake na familia, Hawezi kumudu kulipa gharama za kurudia mwaka, Hili jambo ni gumu sana kujihudumia kwa kurudia mwaka, hivyo hana namna zaidi ya kutoa rushwa ya pesa au ngono ili avuke salama
  • TATIZO jingine ni ucheleweshwaji wa MISHAHARA kwa wakufunzi hususani hawa (Tutorials)! Ifahamike kwamba hawa ni binadamu wanahitaji kuvaa, kula, kunywa na kuhonga, sasa mkufunzi kama hana pesa ya kuhonga Malaya huko mtaani unazani kinachofuata nini kama siyo kutumia mamlaka yake kuwala wanafunzi! (Tumia ulichonacho ili upate ukitakacho theory)
  • Utaratibu mgumu wa kuhama vyuo pia ni changamoto nyingine
  • Kutokuwepo kwa certificate ya kila mwaka wa masomo (annually certificate) ili hata anaeamua kuacha chuo ajue anaondoka na chochote kitu
KIPI KIFANYIKE!

Wataalam na wadau wa elimu chini ya wizara ya elimu wafanye kikao cha pamoja kujadili solution zifuatazo!
1. Mkufunzi wa wanafunzi (Tutorial) apunguziwe maamuzi juu ya hatima ya mwanafunzi, ikiwezekana mitihani ya mwisho (final exam) ya wanafunzi waliofeli (below maksi ) ipitiwe na walimu wengine kabla ya kutangazwa rasmi.

2. Pia kuwepo na ripoti ya ufaulu ambayo mwalimu atapimwa nayo kwa ufundishaji kwa matokeo chanya au hasi! Na endapo 30%-50% ya wanafunzi kama itaonekana wamefeli kwenye hilo somo isihesabike kufeli Bali pia itafsilike mwalimu haeleweki! Na awajabishwe mwalimu kwa kutofundisha vizuri.
3. Sheria za vyuo (by laws) zifute sheria ya KUDISCO/ RETAKING! Bali wabakishe kanuni ya CARRIES FORWARD! Yaani mwanafunzi aliyefeli course work X, aruhusiwe kuendekea mwaka wa pili hadi wa mwisho lakini asipewe cheti hadi pale atakapoclear somo husika!
3. Mwanafunzi asiweze kucarry FORWARD somo ambalo siyo CORE SUBJECT ! Mfano, mwanafunzi anaesoma course ya KULIMA kama core subject, Asikamatwe na kucarry FORWARD somo la mchaka mchaka ( minor course ibaki kuwa ni additional course lakini isimnyime mwanafunzi kupewa cheti cha course husika
4. Kila mwaka wa masomo wanafunzi wapatiwe cheti cha NTA LEVEL 1,2, 3,4,5,6,7 etc hii ni kutokana hawa watu wamelipa ada kila mwaka, na pale wanapopata changamoto za kuendelea na mwaka unaofuata basi angalau wapate cheti hicho cha annually (ni haki kabisa).
Ifahamike siyo lazima hadi mwanafunzi amalize miaka yote chuoni ili apewe cheti cha mwisho.
5. Cheti cha mwisho kitolewe na TCU kama ilivyo kwa NACTE! kuwepo kitengo ndani ya TCU Kitakachopokea taarifa kutoka kila chuo, yaani kila chuo lazima wawe na database acaounti watakayotuma matokeo final TCU, Then vitaandaliwa vyeti huko na kutumwa vyuoni au kwa wahusika kama softcopy!
6. Kama wanaofeli itaonekana Kuna ulazima wa kurudia masomo, basi wapunguziwe ada ya kurudia au wasilipe ada kabisa
7. Iruhusiwe mwanafunzi kuhama chuo kwa utaratibu rahisi
8. Courses work zote ziwe na ratiba maalum inayojulikana na chuo husika, Mwalimu asijiamulie tu mitihani kwa kushtukiza!

Yapo mengi ya kubadilisha lakini angalau hayo yatapunguza unyanyasaji wa kingono na HAYATAMSHURUTISHA MWANAFUNZI NA KUTWEZA UTU WAKE kiasi cha kutoa rushwa ya ngono!

Mwisho! Ngono ni hiari kulingana na makubaliano, Sheria kandamizi ndiyo chanzo kikuu, tukiondoa mazingira hayo kwanza, RUSHWA ya pesa na ngono itapungua na kuondoka yenyewe vyuoni!

Ni maoni yangu! Karibuni
Umeandika mambo mazuri japi la kudisco ulitakiwa ulipe uzito zaidi na liwe la kwanza.
Kwa nini mtu adisco!
Mtu ameisha soma miaka miwili ambapo kasoma kizi zote kazifaulu mwaka wa tatu anashindw baadhi ya kozi eti ana disco hapewi cheti kwa zile kozi alizosoma.
Dunia bado inatumia mfumo wa kizamani sana japo vipo vyuo vilishatoka huko ika vyuo vingi vinakasumba hio ya kufukuza wanachuo.
Mtu aliesoma miaka miwili chuo kikuu amecover content au modules nyingi kuliko wa diploma, kwa nii asipewe cheti ?
Mkuu nakuunga mkono na ningependa hili suala tusiishie JF bali ikiwezekana tuandika makala kwenye magazeti, wizara,bunge nk wabadili mfumo.
Serikalu inapata hasara, jamii inapata hasara.
 
Yote yana uzito! Mkuu ni jambo la kipaumbele tu kipi kianze
 
hakuna kitu kama rushwa ya ngono

uyu anayetunuku mbususu siyo mtoto mdogo, ana vvzi kila pahala anajua nini anakifanya

kutwa kucha kushinda 'club'

anatumia mbususu kama silaha ya kupata A na 'kugradueti' kimseleleko, lekchara afanyaje ?
 
Mambo mengi ulliyoandika hayaendani na hali halisi, kama vyuo vimeshindwa kujiendesha bila integrity vifungiwe tu, haya yakuanza kufanya vyuo kama NECTA na NACTE ndio mtakamilisha kuharibu mfumo wa elimu kuanzia Shule ya Msingi(ambapo umeshaharibiwa 100%) mpaka PhD.
We jamaa bado unamambo ya kizamani ya kuamini kila ulichokikuta kipo sawa.
Haya mambo yalitungwa na watu na sisi ni watu sio lazima tuyafuate kama walivyoamua wao, conservatism is primitive ideology it doesn't fit in 21st century .
Kuna uchafu mwingi sana tunatakiwa tuuchuje katika mifumo ya kikale tuliorithi.
Wapo watu wameamua kuanzisha shule zisizofuata kabisa upuuzi wa kina plato na wenzie ambao unauamini.
Badilika ndugu achana na imani za kale hata waliokulithisha wanaachana nazo wewe bado unaendelea kuziamini.
Ila hatutashindwa kufanya mabadiriko kwa sababu ya watu kama nyinyi, mtaendelea kuwepo tu huku mkiona dunia inavyobadirika huku amuamini kinachotokea.
I tell you mambo yatabadirika tu tena very soon upende usipende labda kama ni mzee hutayashuhudia ila kama ni kijana 30+ utayaona.
 
hakuna kitu kama rushwa ya ngono

uyu anayetunuku mbususu siyo mtoto mdogo, ana vvzi kila pahala anajua nini anakifanya

kutwa kucha kushinda 'club'

anatumia mbususu kama silaha ya kupata A na 'kugradueti' kimseleleko, lekchara afanyaje ?
Soma Uzi utauelewa
 
Umeongea vya msingi sana

Only wapumbavu watakupinga
Tusilalamikie kujikwaa! Bali tuondoe kisiki kwanza ili watoto wetu wasirubunike!
Ebu fikilia mtoto akutane na hizo aibu walizoziandaa kutokana na sheria kandamizi za kudisco! Anaona bora atoe rushwa ya ngono kuliko kufedheheka namna ile, isitoshe anajua fika nyumbani kwao hakuna kitu!

Watoto wa kiume wengine wanakuwa machoko wanapodisco ...hii ni kutokana na sababu ileile ...kurudi kijiji au kurudia mwaka ni aibu kubwa sana! Hivyo wanabaki kurandaranda!

Sheria za kudisco ZIFUTWE ili watu waendelee! Kusoma siyo lazima ufaulu masomo yote!
Maisha sometimes yanahitaji module moja tu zingine zikabakia takatakata!
 
hakuna kitu kama rushwa ya ngono

uyu anayetunuku mbususu siyo mtoto mdogo, ana vvzi kila pahala anajua nini anakifanya

kutwa kucha kushinda 'club'

anatumia mbususu kama silaha ya kupata A na 'kugradueti' kimseleleko, lekchara afanyaje ?
Kuna mtu mmoja enzi zake alitembeza sana papa akiwa chuoni! Kalamba teuzi ya udisi na hadi sasa anachapa kazi vizuri
 
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;

Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!

Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!

Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi litawale mitandaoni ndipo tufanye jambo!

Yote haya yanasababishwa na kutegeana kufanya maamuzi magumu either baina yetu watendaji au baina ya taasisi na taasisi!

Mathalani katika rushwa ya ngono vyuoni, Uongozi wa vyuo umekuwa ukitegea sana kufanya maamuzi wakiamini ni kazi ya TAKUKURU, Pia Takukuru nao wamekuwa wakisubiri taarifa ya vyuo husika ili kufanya maamuzi kwasababu hilo ni jambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote (Mwanafunzi, chuo na Takukuru)

CHANGAMOTO NI ZIPI KATIKA HILI

  • Kwanza kabisa ieleweke kwamba mwanafunzi wa elimu ya juu hafungamani na sheria ya mtoto chini ya miaka 18! Hivyo maamuzi yoyote anayofanya mwanafunzi wa chuo kikuu huhesabika ni maamuzi ya mtu mzima yanayolindwa chini ya katiba ya jamhuri ya muungano kama ilivyo kwa raia yoyote mtu mzima! Hivyo sheria ya faragha inachukua nafasi kubwa!
  • Tatizo jingine ni uwajibikaji wa mwanafunzi katika masomo yake (UTORO na UKILAZA), Hili lipo kwa wafunafunzi wa jinsia zote, hivyo linatoa mianya ya mazingira ya kusaidiwa kufaulu kwa kutoa chochote kitu (Ngono kwa wanawake na pesa kwa wanaume)
  • Shida nyingine ni ufukara (umasikini wa kugharamia masomo) Hili huongozwa na hofu ya kufeli/ kudisco. Mwanafunzi anapobanwa na sheria ya kudisco ni hasara kubwa sana kwake na familia, Hawezi kumudu kulipa gharama za kurudia mwaka, Hili jambo ni gumu sana kujihudumia kwa kurudia mwaka, hivyo hana namna zaidi ya kutoa rushwa ya pesa au ngono ili avuke salama
  • TATIZO jingine ni ucheleweshwaji wa MISHAHARA kwa wakufunzi hususani hawa (Tutorials)! Ifahamike kwamba hawa ni binadamu wanahitaji kuvaa, kula, kunywa na kuhonga, sasa mkufunzi kama hana pesa ya kuhonga Malaya huko mtaani unazani kinachofuata nini kama siyo kutumia mamlaka yake kuwala wanafunzi! (Tumia ulichonacho ili upate ukitakacho theory)
  • Utaratibu mgumu wa kuhama vyuo pia ni changamoto nyingine
  • Kutokuwepo kwa certificate ya kila mwaka wa masomo (annually certificate) ili hata anaeamua kuacha chuo ajue anaondoka na chochote kitu
KIPI KIFANYIKE!

Wataalam na wadau wa elimu chini ya wizara ya elimu wafanye kikao cha pamoja kujadili solution zifuatazo!
1. Mkufunzi wa wanafunzi (Tutorial) apunguziwe maamuzi juu ya hatima ya mwanafunzi, ikiwezekana mitihani ya mwisho (final exam) ya wanafunzi waliofeli (below maksi ) ipitiwe na walimu wengine kabla ya kutangazwa rasmi.

2. Pia kuwepo na ripoti ya ufaulu ambayo mwalimu atapimwa nayo kwa ufundishaji kwa matokeo chanya au hasi! Na endapo 30%-50% ya wanafunzi kama itaonekana wamefeli kwenye hilo somo isihesabike kufeli Bali pia itafsilike mwalimu haeleweki! Na awajabishwe mwalimu kwa kutofundisha vizuri.
3. Sheria za vyuo (by laws) zifute sheria ya KUDISCO/ RETAKING! Bali wabakishe kanuni ya CARRIES FORWARD! Yaani mwanafunzi aliyefeli course work X, aruhusiwe kuendekea mwaka wa pili hadi wa mwisho lakini asipewe cheti hadi pale atakapoclear somo husika!
3. Mwanafunzi asiweze kucarry FORWARD somo ambalo siyo CORE SUBJECT ! Mfano, mwanafunzi anaesoma course ya KULIMA kama core subject, Asikamatwe na kucarry FORWARD somo la mchaka mchaka ( minor course ibaki kuwa ni additional course lakini isimnyime mwanafunzi kupewa cheti cha course husika
4. Kila mwaka wa masomo wanafunzi wapatiwe cheti cha NTA LEVEL 1,2, 3,4,5,6,7 etc hii ni kutokana hawa watu wamelipa ada kila mwaka, na pale wanapopata changamoto za kuendelea na mwaka unaofuata basi angalau wapate cheti hicho cha annually (ni haki kabisa).
Ifahamike siyo lazima hadi mwanafunzi amalize miaka yote chuoni ili apewe cheti cha mwisho.
5. Cheti cha mwisho kitolewe na TCU kama ilivyo kwa NACTE! kuwepo kitengo ndani ya TCU Kitakachopokea taarifa kutoka kila chuo, yaani kila chuo lazima wawe na database acaounti watakayotuma matokeo final TCU, Then vitaandaliwa vyeti huko na kutumwa vyuoni au kwa wahusika kama softcopy!
6. Kama wanaofeli itaonekana Kuna ulazima wa kurudia masomo, basi wapunguziwe ada ya kurudia au wasilipe ada kabisa
7. Iruhusiwe mwanafunzi kuhama chuo kwa utaratibu rahisi
8. Courses work zote ziwe na ratiba maalum inayojulikana na chuo husika, Mwalimu asijiamulie tu mitihani kwa kushtukiza!

Yapo mengi ya kubadilisha lakini angalau hayo yatapunguza unyanyasaji wa kingono na HAYATAMSHURUTISHA MWANAFUNZI NA KUTWEZA UTU WAKE kiasi cha kutoa rushwa ya ngono!

Mwisho! Ngono ni hiari kulingana na makubaliano, Sheria kandamizi ndiyo chanzo kikuu, tukiondoa mazingira hayo kwanza, RUSHWA ya pesa na ngono itapungua na kuondoka yenyewe vyuoni!

Ni maoni yangu! Karibuni tujadili!
Ngono sio tatizo, tatizo hivi vyuo havina muongozo kuhusu mahusiano ya wakufunzi na wanafunzi, viwepo vitabu au vijarida ama sheria kila mtu ajue walioko huko vyuoni wote wajue mipaka ya kutongoza na kutongozwa, na ifahamike wazi kukubali au kukataa ni hiari na kama mtu analazimisha mahali pa kulalamika au kupeleka ushahidi pawepo. Bila hofu shetani hujitawala na ikiwezekana iwe marufuku mawasiliano ya wanafunzi na waalimu wao ofisini hasa zile za mmoja mmoja mara ofis ya Dr.Prof fulani. Ziwepo siku za consultations na ziwepo free venues kwa ajili ya hilo.
 
We jamaa bado unamambo ya kizamani ya kuamini kila ulichokikuta kipo sawa.
Haya mambo yalitungwa na watu na sisi ni watu sio lazima tuyafuate kama walivyoamua wao, conservatism is primitive ideology it doesn't fit in 21st century .
Kuna uchafu mwingi sana tunatakiwa tuuchuje katika mifumo ya kikale tuliorithi.
Wapo watu wameamua kuanzisha shule zisizofuata kabisa upuuzi wa kina plato na wenzie ambao unauamini.
Badilika ndugu achana na imani za kale hata waliokulithisha wanaachana nazo wewe bado unaendelea kuziamini.
Ila hatutashindwa kufanya mabadiriko kwa sababu ya watu kama nyinyi, mtaendelea kuwepo tu huku mkiona dunia inavyobadirika huku amuamini kinachotokea.
I tell you mambo yatabadirika tu tena very soon upende usipende labda kama ni mzee hutayashuhudia ila kama ni kijana 30+ utayaona.
Hii sio afya ya mijadala, mawazo au maoni, ukiona una mtazamo kinzani ebu eleza inavofaa kwa mtazamo wako kisha kosoa na utoe pendekezo, kukosoa peke yeka au kudhihaki bila kuonesha ubora wako wewe katika maudhui husika haina maana.
 
Ngono sio tatizo, tatizo hivi vyuo havina muongozo kuhusu mahusiano ya wakufunzi na wanafunzi, viwepo vitabu au vijarida ama sheria kila mtu ajue walioko huko vyuoni wote wajue mipaka ya kutongoza na kutongozwa, na ifahamike wazi kukubali au kukataa ni hiari na kama mtu analazimisha mahali pa kulalamika au kupeleka ushahidi pawepo. Bila hofu shetani hujitawala na ikiwezekana iwe marufuku mawasiliano ya wanafunzi na waalimu wao ofisini hasa zile za mmoja mmoja mara ofis ya Dr.Prof fulani. Ziwepo siku za consultations na ziwepo free venues kwa ajili ya hilo.
Wazo zuri! Unakuta mwalimu anamuita mtoto ofisini pasipo kumueleza jambo la maana! Au anamgandisha hapo ofisini na kumpotezea mda pasipo jambo la maana
 
Back
Top Bottom