sekta ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  2. benzemah

    Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  3. Roving Journalist

    Biteko: Ukuaji wa Sekta ya Madini kwa mwaka 2022 umekuwa asilimia 10.9 ukilinganishwa na ukuaji wa asilimia 9.4 mwaka 2021

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inaendelea kuongeza mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Dkt. Biteko amebainisha hayo leo Oktoba 25, 2023 akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Madini na Uwekezaji...
  4. Pfizer

    Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  5. Pfizer

    Dkt. Biteko: Biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India

    TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI Arusha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
  6. Roving Journalist

    Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  7. benzemah

    Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  8. Anonymous77

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Madini nchini Tanzania

    Sekta ya madini nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu zaidi za uchumi. Sekta hii inachangia takriban asilimia 10 ya pato la taifa na inatoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, sekta ya madini pia imekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji na...
  9. Pfizer

    Wadau wakaribishwa kupata taarifa namna ya kushiriki jukwa la kimataifa sekta ya madini mwezi oktoba 2023

    Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano. Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini Bi. Jacqueline Aloyce...
  10. G

    SoC03 Mabadiliko katika Sekta ya Madini kwa Utawala Bora na Uwajibikaji

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa: Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
  11. K

    Juhudi za Rais Samia zimesaidia kukuza mchango wa sekta ya madini kwenye pato la taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliitaka wizara ya madini kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka kutoka 6.7% mwaka 2020 hadi kufikia 10% mwaka 2025. Hadi sasa sekta hiyo inachyangia 9.7 ya pato la taifa...
  12. The Inspire55

    Faida katika sekta ya madini

    Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara. Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
  13. B

    Mwaka mmoja wa Rais Samia: Mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka Mmoja wa Mhe. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Taifa letu. Mwaka Mmoja wa Rais...
  14. MIMI BABA YENU

    Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
  15. I wish i have

    Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
  16. Replica

    Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  17. The Sheriff

    Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi amewasili kwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia leo Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi hao wawili wanatarajia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya nchi mbili, uhusiano wa kidiplomasia...
Back
Top Bottom