assad

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yamuachilia Huru Dereva wa Rally Maxine Wahome katika Kesi ya Mauaji ya Assad Khan

    Mahakama Kuu imemuachilia huru dereva wa mbio za magari, Maxine Wahome, katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake wa zamani, Assad Khan, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake bila shaka yoyote. Katika uamuzi uliotolewa Jumanne, Julai 28, 2026, mahakama ilisema...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Musa Assad: Mshahara Wangu Ulikuwa Million 7 Na baada ya Makato Ulibakia Million 5 , Gari Zuri V8 na Marupurupu Mazuri.

    Ndugu zangu Watanzania, Aliyekuwa CAG wakati wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Profesa Mussa Assad Amesema ya kuwa Mshahara wake kabla ya Makato ulikuwa ni Milioni 7 . Ambapo Baada ya Makato alibakiwa na Million 5. Amesifia Nafasi hiyo kwa kusema ni nafasi yenye marupurupu manono,Gari...
  3. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad: Tatizo tuna watu ambao wameibuka, Kiongozi lazima atayarishwe

    Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule mwenye uwezo wa kusimamia watu na taasisi kwa ufanisi kupitia mambo makuu matatu: upangaji wa mipango ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Profesa Mussa Assad: Sikusema Bunge ni dhaifu, hayo yalikuwa maneno ya Ndugai

    Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile? Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Assad: Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa!

    Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Professor Assad: Kazi ya kufuatilia utekelezwaji wa bajeti ya serikali haifanyiki sawasawa

    Professor Assad ametolea ufafanuzi kuhusu suala la upotezo wa zile Trillion 1.2 katika hesabu za matumizi ya serikali wakati yeye akiwa katika nafasi ya CAG.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Huyu Assad ni aina ya wale wazee "Cancer" katika Taifa

    amemuuliza Professor Assad kuwa, ingetokea tukarudisha miaka nyuma, angetengua ile kauli aliyodaiwa kuisema kuwa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu!? Proffesor Assad amejibu -“Hakuna sehemu hata moja mimi nilisema Bunge ni dhaifu, yalikuwa maneno ya Marehemu Ndugai, nilisema...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaishi maisha ya rahaa mfano ni prof mussa juma assad.

    Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho. Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara. Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi. Ukiwa...
  9. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Tukae upande wa "Ceteris Paribus", Sijui tunaruhusiwa

    Chaguzi za kidemokrasia zimeanza 1995 na zitaendelea ila ushindi mkubwa katika historia mpaka wa leo ni 2025 kwa aslimia 96.7%. na walioshindwa ni asilimia 3.3%. Kwa akili za wataalamu wetu wanaotuaminisha:- 1) Kulitokea mpango wa vurugu za mapinduzi yaani hiyo asilimia 3.3% ina mwamko mkubwa...
  10. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sigda ni ya Prof Assad tu, ile kwenye paji la uso wa Kailima ni kovu tu. Hapaswi kuswali swala 5 yule.

    Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM. Yule nina uhakika hata...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

    Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
  14. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

    Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania CIA walitumia wa Uyghurs kuiharibu China na kumuondosha Assad Kanali wa US anatoa siri

    Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China. Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi...
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Waarabu ni watu wa ajabu sana. Kumbe Assad alikuwa ni wakala wa Mossad

    Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

    Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

    Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye...
Back
Top Bottom