migodi ya dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Inspire55

    Faida katika sekta ya madini

    Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara. Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
  2. Ndenji five

    Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

    Wakuu kama unajiona una mtaji kuanzia m2 hivi njoo nikusaidie ujipatie eneo la mgodi ujiingizie m3 hadi nne kwa siku hiyo ni baada ya kuwekeza ndani ya mwezi mmoja Kikubwa ambacho nitakusaidia kukuunganisha na ml mwenye eneo atakupa eneo kwa makubaliano haya 3% ya faida utayopata itaenda kwa...
Back
Top Bottom