The Inspire55

Member
Oct 14, 2020
12
22
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.

Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na kutoa makadirio ya faida yasiyo sahihi pamoja na matumizi makubwa ya dawa ambayo hayaendani na uhalisia wa PPM zinazosoma kwenye udongo.

Mafanikio katika kazi hizi ni kumtanguliza Mungu kabla ya kazi, Kuwa mwaminifu, kupenda kazi yako na kumjali mteja. Matokeo ya wewe kuwa nani baadae hutokana na unacho kifanya.

Tunatoa ushauli na kufanya kazi za uchenjua wa dhahabu kwa mfumo wa vat leaching na kutoa ushauli wa kiusalama kwa wachimbaji wadogo na wote wafanyao kazi migodini pasipo na elimu ya usalama wao.

FB_IMG_16758330191835899.jpg


#0769261057 #0753021057
 
Umepondea wakemia wenzako ila wewe hujasema ata kwa ufupi uchenjuaji wako unafanyika vipi, yapi matokeo au faida ya kufanya kazi na nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom