Mwaka mmoja wa Rais Samia: Mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
Na Bwanku M Bwanku.

Leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka Mmoja wa Mhe. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Taifa letu.

Mwaka Mmoja wa Rais Samia, tumeshuhudia mabadiliko na mapinduzi makubwa sana kwenye Sekta ya Madini ikiwemo kuongezeka kwa Mchango wa Sekta kwenye Pato la Taifa kutoka 6.5% hadi 7.3%, mapato ya Madini kufikia Bilioni 597.5 (Mapato ya Juu sana kuwahi kutokea), kuzidi kuongeza thamani Madini hapahapa nchini kabla ya kwenda Nje, kuingia mikataba mikubwa zaidi ya 4 kwenye Uchimbaji wa Madini na Makampuni na mengine mengi sana. Pata NAKALA sasa ya Gazeti hili ushuhudie mwenyewe kazi kubwa iliyofanyika kwenye Sekta hii iliyopo 5 Bora kwa umuhimu sana kwa Uchumi wa Taifa letu.

status_me_status_IMG-20220317-WA0025.jpg


255628951337_status_d8ee7cac7f3d4beb85cf1f90f5a7fec0.jpg
 
Back
Top Bottom