asilimia 10

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali wa mikopo ya asilimia 10 Singida DC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani 2024 alipata fursa ya kuwa mgeni rasmi katka sherehe zilizofanyika Tarafa ya Mntinko Wilaya ya Singida. Mhe. Aysharose Mattembe aligawa Vyeti vya pongezi kwa vikundi vya Wajasiriamali...
  2. Chance Media

    Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
  3. benzemah

    2030 Uvuvi Uchangie Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030. Waziri Ulega amesema...
  4. benzemah

    Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  5. JanguKamaJangu

    Asilimia 10 ya watu Duniani hawana chakula cha kutosha na wanalala bila kula

    Watu milioni 828 Duniani ambao ni takribani Asilimia 10 ya watu wote wanalala bila kula kila siku, ikiwa ni ongezek la watu milioni 46 zaidi ya ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita. Takwimu hizo zimetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mbili ya tatu ya watu hao ni...
  6. N

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  7. L

    Mapato ya chai ya Kenya yaongezeka kwa asilimia 10 katika robo ya kwanza ya mwaka huu

    Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
  8. JanguKamaJangu

    Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia 10) wanusumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. Aliyasema hayo jijini Dodoma katika uzinduzi wa mpango wa kuzuia ulemavu wa kutoona unaoweza kusababishwa na...
  9. rich1

    Nimepokea ujumbe kutoka Halopesa kuhusu kukata asilimia 10 kutoka kwenye jumla ya commission ya mwisho wa mwezi

    Kwema ndugu zangu, Nimepata ujumbe kutoka halopesa kwamba kuanzia December kuelekea January 2022, wataanza kukata kodi ya ten percent kutoka kwenye jumla ya commission yako ya mwisho wa mwezi 1. Mfano wakala mwisho wa mwezi ukipata commission ya 100,000/= serikali wanaondoka na elfu kumi kama...
Back
Top Bottom