miezi sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elli

    Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

    Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi?? Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
  2. BARD AI

    Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  3. Pdidy

    Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

    Ndoa n jambi jema sana. Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana. Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa. Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii Wachaga wanasema bado mtasemaaaa. Sikukuu...
  4. LIKUD

    Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  5. R

    Madavadi awaambia Wakenya wajiandae kwa nyakati ngumu za uchumi, miezi sita haitoshi!

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka. Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
  6. Jugado

    Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
  7. Ashampoo burning

    Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko mwaka 2017sura nayo nzuri sana Sijisifii kila siku nawaambia mungu alinibariki nikashika hela...
  8. GENTAMYCINE

    Simba SC hivi kweli 'a Competent CEO' anaweza kupewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 ) na Taasisi inayojitambua?

    Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi katika Corporate World na Taasisi yenye Uweledi na Umakini CEO anayepewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 )...
  9. R

    Kampuni ya Nokia ilikuja na toleo jipya la simu ambazo hununui kwa pesa tasilimu bali unakopeshwa na kulipa kwa miezi sita; tusidanganywe

    Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi. Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Refa wa Yanga afungiwa miezi sita

    Florentina Zabron nje miezi 6 Mwamuzi Florentina Zabron ameondoshwa kwenye ratiba za michezo ya Ligi Kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo kutokana na kuionea Klabu ya Geita Gold ilipocheza na Yanga SC pale CCM Kirumba Mwanza. My Take Kumekuwa na tetesi za Utopolo kuwawezesha marefa wanaofungiwa...
  12. Nyankurungu2020

    Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  13. mitale na midimu

    Je, vita vikiendelea miezi sita ijayo Urusi ataishiwa silaha?

    Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana. Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba. Mchambuzi mwingine anasema hats US atakoma siku zikiendelea maana silaha zake zitapungua kwenye akiba zake. Najiuliza nchi...
  14. Mshamba wa kusini

    Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
Back
Top Bottom