Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi.
Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026 wakati wakihojiwa kwenye Kituo cha Channel 10 akiwa pamoja na Katibu...
Katibu Msaidizi - Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Zanzibar, Selemani Chihembe akitoa ufafanuzi juu ya sababu za kuzuiwa waombaji ajira wenye elimu ya juu kuomba nafasi za ajira zinazohitaji sifa za elimu ya chini.
Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026...
Sisi Wahitimu tuliomaliza masomo yetu kati ya mwaka 2014 na 2019 tunaomba Sekretarieti ya Ajira izingatie utaratibu wa kutenga au kugawanya baadhi ya nafasi za ajira kati ya wahitimu wa muda mrefu na wahitimu wa karibuni. Hatua hii itasaidia kutoa fursa sawa kwa Watanzania wote wanaotafuta...
Anonymous (3827)
Thread
maoni kwa tamisemi
msingi
sekretarietiyaajira
walimu
wizara ya maendeleo ya jamii
Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma.
Inasikitisha kwamba unatuma email yenye tatizo muhimu kwenye akaunti yako, lakini inapita mwezi hadi miezi bila majibu wala...
Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview.
Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi...
Anonymous
Thread
ajira
huwa
inakera
muda
sana
sekretarietisekretarietiyaajira
usaili
Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal.
Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA Arusha, Post za Accountant Officer 2, baada ya kufika Wakaguzi wakawa wanafanya physical verification...
Anonymous (a9f4)
Thread
ajira
masharti
sekretarietisekretarietiyaajira
usaili
wengi
Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja.
Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
Anonymous
Thread
ajira
kupitia
sekretarietisekretarietiyaajira
usaili
wote
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;
Ili kuweza kutazama nafasi zilizotangazwa pitia
Habari wakuu
Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.
Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.
N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa...
Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025.
Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
Wakuu habari
Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
Habari,
Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam .
Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira
Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira .
Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA
Na Josephat H +255 656 480 968
Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina ya walimu wanaostahili kufanya usaili. Uwajibikaji na uwazi huu huongeza imani kwa taasisi, kwani...
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana .
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wanaweka alama za ufaulu baada ya mitihani kufanyika, Kwanini wasitangaze alama za...
Wanajukwaa salaam!
Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini.
Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.
Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.
Zipo kada mbalimbali nazo ni.
1...
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!
Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.