nokia

 1. Deejay nasmile

  Nokia lumia: inawezekana kutoa windows os na kuinstall android os?

  Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android, Je inawezekana?? Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu.. Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
 2. kidadari

  I miss you Nokia C2-00

  Back in 2012 enzi Nokia bado imeshika hatamu.Simu yangu ya kwanza kununua kwa hela yangu 125,000 enzi za MidCom ndo wakala wa Nokia. Simu ilikia na battan smooth and soft kwa wale wanaopenda kuchati haina kelele. Software iko fasts ukitype unachek kwenye screen maneno yanavyojitype very fast...
 3. TATA MKURIA

  Nahitaji full body housing nokia 5.1 plus black

  Wakuu Nahitaji kupata full body housing ya nokia 5.1 plus. Anayeweza kunisaidia tuwasiliane tafadhali
 4. Bujibuji

  Ubora wa Camera ya Nokia Lumia 1020 ya zama zile na camera za simu za leo

  Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita. Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la...
 5. E

  Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

  Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1 Baadae...
 6. gm man

  Jinsi ya ku-bypass Nokia 1

  Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1. Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
 7. gm man

  Naomba msaada wa kutatua tatizo hili katika imu aina ya Nokia 1

  wakuu nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email" sasa email hiyo iliyokuwa inatumika siijui na aliyeniuzia simfaham naomba msaada jinsi ya kufanya ili niweze kuweka email yangu na...
 8. kamikaze

  Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

  Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
Top Bottom