Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,519
86,072
Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi??

Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje mamlaka zote hazioni hili kama tatizo?

Kuna mbunge, Diwani, DC, RC, na wengine wengi, tena wote WA CCM...... Hili nalo Hadi CHADEMA tuseme??

Huu umbali sio WA kitoto, sio chini ya taa mia tatu hazipo na wote mpo kimya. This is unfair. Hebu toeni maelezo ili Tusilaumu.

 
Nimerekodi ila naona video ni kubwa imegoma ku-upload
 
Utakuta Kuna fungu wanaandikia Kisha wanachukua wanasema zimenunua taa kumbe wamekula, kudadeki.
 
Back
Top Bottom