refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Refa Frank Komba na mwenzake wafungiwa

    Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji. Je, hawa wanastahili...
  2. Chibike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kumbe refa wa kisomalia alikuwa na connections na magaidi

  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  6. sergio 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marefa wa Tanzania wanangoja nini kugomea kuchezesha mechi zote za NBC?

    Hili suala Lilianza toka mwaka jana kwenye DERBY wanaletwa marefa WA kigeni je waamuzi wetu hawaoni kuwa kama kwao Hilo ni tusi kubwa sana Maana najua wanalipwa pesa kidogo hao waamuzi kutoka nje wanakuja kuchota pesa kibao ata mara 50 ya wanacholipwa wa kwetu Kwa kulinda heshima zao...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaweza kuifunga Simba ni refa tu na sio Yanga

    Hapo vip! Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa wanamfunga Simba au wanasare na Simba mfano darby iliyopita Simba amenyimwa goli lake la halali na...
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

    Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
  9. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupunguze makelele kwa refa tuongelee magoli waliyokosa wakisoma wajue wanarekebisha wapi

    NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME WANGEKOSA. MOJA MEANS DRW JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
  10. Manepesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

    Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed. Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  12. Bila bila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kefa Kayombo, refa mbovu anayebebwa na mfumo.

    Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd, Fountain Gate, Mashujaa, JKT na Pamba ni wahanga WA maamuzi mabovu ya Kayombo, lakini bado YUPO!
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kumlaumu refa kuongeza DK 15, je, wewe ulihesabu DK Ambazo mchezo ulisimama?

    Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

    Tumsikilize Askofu hapo chini ; Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ? - Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa. Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asec wagomea penati hadi refa akaangalie kwenye VAR

    RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa Arajiga hacheki na wowote

    Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo .. Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
  17. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bondia azichapa na refa ulingoni

    Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni. Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho kilichosababisha Likaule kupandwa na jazba na kupigana na mwamuzi huyo. Ikumbukwe mwamuzi huyo aliwahi...
Back
Top Bottom