Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi sita hataki kusikia kelele za kukatika kwa umeme.

“Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?”
 
Eti "Maharage alipoishia" 😂😂😂😂, kwahiyo akaharibu zaidi??

Alafu ni "mitambo" gani hiyo wanayokarabati kwa miezi 6?? I hope huyo ndungu ni mhandisi ataweza kuuona ubabaishaji wa watumishi wa TANESCO na kuwabana kama alivyoweza Dr. Mwinuka.
 
... miezi 6 ya msoto wa kukosa/kukatika umeme! Baada ya hapo isipowezekana what next? Another DG, other directives? Let's wait and see!

Labda Mungu wa Mbinguni atatuhurumia kwa kuleta umande juu ya uso wa nchi. Halafu this time viongozi wa dini hawajaitisha maombi kuomba mvua tatizo hili liondoke; sijui ni kuchoka au kukata taama au huu sio msimu wa mvua? I don't know.
 
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi sita hataki kusikia kelele za kukatika kwa umeme.

“Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?”
Miezi sita atakuwa ameshaleta mvua?
 
Rais wetu namuonea huruma sana kwa hizi mbalinga anazojaribu kupambana nazo kwa kuwatumia wale wale wanaomtega
 
Eti "Maharage alipoishia" , kwahiyo akaharibu zaidi??

Alafu ni "mitambo" gani hiyo wanayokarabati kwa miezi 6?? I hope huyo ndungu ni mhandisi ataweza kuuona ubabaishaji wa watumishi wa TANESCO na kuwabana kama alivyoweza Dr. Mwinuka.
Aise hawa watu wa ajabu sana

Ova
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi sita hataki kusikia kelele za kukatika kwa umeme.

“Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?”
Kwahiyo ndan ya miez sita watanzania waendelee kuteseka kukosa kipato kwaajil ya family zao? Kwann watanzania huonekana kama ni wavamiz wa Nchi na hawana umuhim?
 
My understanding is the ratio of consumption to what we produce is not balancing hapa ndio shida ilipo huwezi hitaji megawatts elf 10 wkt uwezo wako wakuzalisha haufikii kwakua hakuna maji alternative is gas,solar and winds inshot kwa mazingira yaliopo it’s impossible.otherwise hata matengenezo yasiwepo.
 
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
Kiukweli hapa sikumwelewa
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi sita hataki kusikia kelele za kukatika kwa umeme.

“Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?”
Mingi Sana hiyo.
 
Kwa hiyo mitambo imemalizwa ukarabati?
 
Back
Top Bottom