Yaani unatumia bando linaisha ata hujamaliza siku akati kuna Pocket wifi za yas kwa sh140,000 unapata kifaa chenywe kinakaa na charge masaa 8 mpaka 10 nakupa na unlimited bundle mwezi mzima baada ya mwezi utakua unarenew kwa 70,000 tu kupata unlimited bundle yako.
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
Leo katika pitapita zangu kwenye moja ya mitandao ya Kijamii, nimekutana na tangazo la kuunganishiwa kifurushi au bando kwa bei nafuu (Gb 7 kwa mwezi kwa Tshs. 5,000/=) na kulingana na hali ya mambo kwa sasa ilivyo, nikaona hii ita itanipa unafuu wa maisha maana vifurushi vimekuwa ghali sana kwa...
TIGO POST PAID:
15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000
Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa
Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi
Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
Nadhani tuje na mkakati wa kudai kushushwa kwa gharama za mabando maana hali ni mbaya sana.
Tunaibiwa sana na haya makampuni ya simu.
Vifurushi vya data vipo juu sana hali sio nzuri hata kidogo.
Tutaendelea kunyanyasika hivi hadi lini ndani ya nchi yetu wenyewe?
Tuje na mkakati hali ni mbaya
Bado hawajamaliza,
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
Ikiwa GB 10 unauziwa kwa 25,000/=, na zenyewe unatumia ndani ya siku kadhaa tuu ukiwa kwenye 4G, je ukiwa kwenye 5G si ni siku moja bando linakuwa limeisha?
Mabadiliko ya teknolojia yanapaswa yaendane na mabadiliko ya sera za bei za data. Nchi nyingi zilizozindua hii teknolojia ya 5G hawatumii...
Mbunge Salome Makamba, amesema kuwa habari ya mabando kuisha muda wake baada ya kujiunga ni sawa na kuwaibia watanzania, adai kuwa ukijuinga bando la simu liwe la dakika za maongezi au la data unaweza usilitumie kutokana na changamoto nyingi sana zikiwemo za kukosekana kwa mtandao wa simu au...
Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia.
TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi.
Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan).
Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani,
Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa.
Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia.
Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu wanaingia kwa machale,
Views chache pia zinawapunguzia mapato wasanii, youtube wanalipa kwa kigezo...
Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan)
Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo flava katika sura ya bara la Afrika, Ilikuwa rahisi sana msaga sumu kupata views milioni kuliko msanii...
Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria.
Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati.
kwa sasa ndani ya miezi...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk.
Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.