Inawezekana Vodacom wamegoma kuhusu mabando

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
201
159
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.

Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki.

Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?.

VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo.
 
Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurudishwa kama zamani pia zimeboreshwa.

Huu ni uwongo kabisa wa Vodacom kwa sisi wateja wake. Mie binafsi nilikuwa mtunijai mkubwa wa kifurushi cha sh. 3000 kwa wiki nilikuwa napata GB 1.2 na dkk 200 voda-voda na 50 mitandao yote. Sa hv kwa kiasi hicho unapata dkk 100 mitandao yote, MB 600 na sms nadhani 30 tu.

Hii inamaanisha tu kuwa Vodacom wamekataa maelekezo ya serikali na zaid wanatuahadaa kabisa.

For sure vodacom hawatufai
 
Voda ni kampuni ya kijeuri sana. Kisa tu wateja wake wengi ni matajiri eti! Sijui ni kweli?
Labda mkuu maana mitandao mingine angalau wamethubutu kubadilisha mabando lakini VODACOM bado kuna nini kwao au serikali nayo ina ubia wake maana sielewi kwakweli mpaka sana kwa maagizo ambayo yametolewa kwa mitandao mingine?
 
Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurdishwa kam zamani pia zimeboreshwa..
kilio kama changu maana mimi ni mtumiaji pia mkubwa vifurushi vyao hasa kwa shughuli zangu za online applications lakini sasa kwakweli nipo mbioni kutafuta Modem ya mtandao wenye vifurushi nafuu.
 
Aaah hii nchi kila mtu mbabe,hii mitandao ina regulata ila hana meno makali.....kimsingi ilitakiwa kuwe na uniformity kwa mitandao yote, then wao kama wamiliki wa makampuni ndiyo wawe na offers zao kuvutia wateja, kusingekuwa na ulazima kwa mtu kuwa na laini hadi 4......ila nchi yetu na viongozi wetu hawajawahi kuwajali wananchi wake.......
 
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo

hakuna vifurushi vya chuo tena
 
Hamia Halotel
 
Mie nilisha wakimbia kitambo maana wanaonekana wametosheka na wateja
 
Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurdishwa kam zamani pia zimeboreshwa.
Huu ni uwongo kabisa wa Vodacom kwa sisi wateja wake.
Mie binafsi nilikuwa mtunijai mkubwa wa kifurushi cha sh. 3000 kwa wiki nilikuwa napata GB 1.2 na dkk 200 voda-voda na 50 mitandao yote. Sa hv kwa kiasi hicho unapata dkk 100 mitandao yote, MB 600 na sms nadhani 30 tu.
Hii inamaanisha tu kuwa Vodacom wamekataa maelekezo ya serikali na zaid wanatuahadaa kabisa.
For sure vodacom hawatufai
Mkuu pesa unayotumia kununulia bundle ni yakwako unapataje mateso hivyo?
 
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo
IMG-20210414-WA0017.jpg
 
Vodacom Tanzania wanakiburi hatari
 
Huyu mama hatufai, kama ameshindwa kwenye hili sijui nini kingine ataweza,.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom