kuhama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

    Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  4. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kuhama

    Wakuu salaam, Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
  6. blogger

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi kama unaweza kuhama haama. Na kamwe usirudi tena

    Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
  7. Lagertha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  8. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Hi, Happy New Year. Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wasema hawawezi kuhama na hawana pa kwenda palipo salama.Wanasubiri wapigwe nyuklia na Israel

    Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote. Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale. Mmoja wao...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika. Awali, Mdau huyo alidai...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman Alikuwa na kauli mbiu yake...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  14. michu03

    JamiiForums Tanzania Je, Vijana wa Kiafrika Wana Nafasi Katika Mapinduzi ya AI Bila Kuhama Bara?

    Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania 🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
  17. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kuna muda usiteseke kuna vitu unaweza kuhama au kuachana navyo tuu

    Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
  18. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Habari wakuu, naomba msaada Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB. Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuhama diploma under NACTVET kwenda TCU?

    Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers. Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
Back
Top Bottom