Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
TIGO POST PAID:
  • 15 GB kwa 15,000
  • 35 GB kwa 35,000
  • 48 GB kwa 40,000
  • 72 GB kwa 60,000
  • 120 GB kwa 100,000

Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa

Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi

Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa, usipolipa lain inafungwa na unadaiwa deni.

AIRTEL SME:
A. Vifurushi vya sme bila kununua router ya airtel
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 60 GB kwa 50,000
B. Vifurushi vya sme ukinunua router ya airtel inayouzwa elf 50
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 65 GB kwa 50,000
  • 100 GB kwa 75,000
  • 200 GB kwa 100,000/=
Hakuna gharama za usajili, wanachohitaji ni Tin Number na leseni ya biashara hata iwe ya kibanda.

huna wajibu wa kulipia kila mwezi, mambo yakitaiti unaweza nunua kifurushi cha chini au kusubiri mfuko ukae sawa

unachagua kifurushi cha kununua, mwezi huu unaweza nunua cha elf 20 mwezi ujao cha elf 50

CONCLUSION

Mimi tigo post paid nilijiunga mwaka jana kabla hawajabadili vifurushi, huwa naungwa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi. hapa nilipo napima mzani kwasababu kifurushi changu nacho kipo fresh si haba lakini kama ningekuwa nalipia vifurushi hivi vya sasa ningehamia airtel fasta tu.
 
AIRTEL: Wana vifurushi vya sme ambavyo unaungwa ukiwapelekwa compy za tin number na leseni ya biashara. kuungwa ni bure ila kuna vifurushi vya router inabidi uinunue kwa elf 50.
Vifurushi vya sme bila kununua router ya airtel
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 60 GB kwa 50,000
Vifurushi vya sme ukinunua router ya airtel ya 50
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 65 GB kwa 50,000
  • 100 GB kwa 75,000
  • 200 GB kwa 100,000/=
Kuna flecibility ya malipo, unachagua kifurushi cha kununua

TIGO POST PAID: Nami nimekuwa mteja wao tangu mwezi wa saba na ilinisaidia sana kupunguza gharama, ila kwa huo mzigo wa airtel nafikiria mara mbili mbili.

15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000

Kuna kupipia security fee inayolingana na bei ya bando unalotaka kuungwa, kisaha baada ya hapo ni kila mwezi bila kukosa lazima ulipie bili ya bandp, ikifika tarehe 1 tu chap gb zinaingia upya.
Naweza tumia laini yangu ya Tigo!?
 
Mimi tigo post paid nilijiunga mwaka jana kabla ya mabadiliko ya kuleta hizi bei mpya, huwa naungwa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi. hapa nilipo napima mzani kwasababu kifurushi changu nacho kipo fresh si haba lakini kama ningekuwa nalipia vifurushi hivi vya sasa ningehamia airtel fasta tu.
Boss. Last time nilienda kununua router ya tigo nikapewa na zile 40GB ila nilipoomba niungwe na hii huduma wakasema siku hizi ni kwaajili ya makampuni tu.

Lazima niwe na kampuni iliosajiliwa sijui blah blah.

Kwahiyo GB40 zilivoisha router ipo tu na laini yao sijawahi weka ata jero.

Je, imerudi hii naweza jiunga au Bora niende Airtel naona hawana mambo mengi.
 
Ni kweli kuna mabadiliko yalifanyika, bei zilipanda mno ila kwa sasa wamefanya tena mabadiliko tena, vifurushi vina nafuu na huenda hata usajili umelegezwa, jaribu kwenda tena.

Ila ikishindikana kuna wadau hata humu ndani wanaviunga na kuna magroup kabisa ya whatsapp
 
TIGO POST PAID:
  • 15 GB kwa 15,000
  • 35 GB kwa 35,000
  • 48 GB kwa 40,000
  • 72 GB kwa 60,000
  • 120 GB kwa 100,000

Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa

Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi

Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa, usipolipa lain inafungwa na unadaiwa deni.

AIRTEL SME:
A. Vifurushi vya sme bila kununua router ya airtel
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 60 GB kwa 50,000
B. Vifurushi vya sme ukinunua router ya airtel inayouzwa elf 50
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 65 GB kwa 50,000
  • 100 GB kwa 75,000
  • 200 GB kwa 100,000/=
Hakuna gharama za usajili, wanachohitaji ni Tin Number na leseni ya biashara hata iwe ya kibanda.

huna wajibu wa kulipia kila mwezi, mambo yakitaiti unaweza nunua kifurushi cha chini au kusubiri mfuko ukae sawa

unachagua kifurushi cha kununua, mwezi huu unaweza nunua cha elf 20 mwezi ujao cha elf 50

CONCLUSION

Mimi tigo post paid nilijiunga mwaka jana kabla hawajabadili vifurushi, huwa naungwa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi. hapa nilipo napima mzani kwasababu kifurushi changu nacho kipo fresh si haba lakini kama ningekuwa nalipia vifurushi hivi vya sasa ningehamia airtel fasta tu.
Tatizo la airtel ni speed tu
 
Back
Top Bottom