tozo miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kelvin patrick

    Tozo ni kwa sababu TRA wameshindwa kukusanya kodi vizuri

    Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru. Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
  2. Vontec

    Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  3. N

    Watanzania wana hela lakini hawataki kulipa kodi, Serikali msipunguze tozo

    Watanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo. Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi. Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa, Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame
  4. Wacha1

    Ahadi ni deni; Serikali inashindwa kupata kodi halali kwenye mauzo na inaamua kuchukua njia rahisi ya kuwakamua walipa kodi

    Rais SSH ulisema suala la tozo linafanyiwa kazi na muda si mrefu litatolewa uamuzi. Kitu cha kushangaza uamuzi baada ya kufanyika wewe umejificha Ikulu anamtuma waziri wa fedha kuja kulitolea ufafanuzi. Rais SSH hii ni dharau ambayo sisi Watanzania hatukutegemea kutoka kwako baada ya kutoa ahadi...
  5. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  6. B

    Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  7. Roving Journalist

    Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

    Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kwa Watanzania kupitia Mkutano wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Jijini Zanzibar tarehe 8 Agosti 2021 UTANGULIZI Ndugu Wajumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Ndugu Watanzania wenzangu, Kwa takribani mwezi mzima sasa, nimekuwa...
  8. Replica

    Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  9. Kinuju

    Gazeti la Nipashe: Posho za wafanyakazi ATCL ni kufuru, mabilioni yateketea

    Habari. Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la nipashe la leo limekuja na ripoti maalum ya upotevu wa mabilioni ya fedha kwenye shirika la ndege la...
  10. mbegubora29

    Dhuluma ya tozo za simu

    Habari za asubuhi! Wana Jamii members! Kwanza nikiri mie sio mwanachama wa chama chochote na sitarajii kuwa nacho ila nami natumia fursa ya katiba kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni juu ya muktadha wa Taifa. Malipizi yoyote bila makubaliano ni dhuluma hivyo kwa yeyote atakayeweza kukwepa...
Back
Top Bottom