Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki.
Nilikuw mmoja wa watu hawo .
Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi .
Niko kazini, boss akaniletea spika ya Bluetooth,ndo upuuzi ukazidi.
Siku moja nikaona siyo fani,nikafuta mizik yote,nikawa...