zantel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

    Duh.... Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu. Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini? Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani. Yeye kila siku yuko kwenye...
  2. Teko Modise

    Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

    Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
  3. James Hadley Chase

    Zantel ni moja ya kampuni ya mawasiliano inayojiendesha kiujima sana. Ushahidi huu hapa

    Sababu ni hizi 1. Hawnaa vifurushi vya kueleweka, yaani mtu unalipa Tsh 2000 wnaakupa sms 3000 kwa siku 30. Ongezeni sms zifike hata 5000-10000 2. Hawnaa huduma ya wateja ya kueleweka, ni mwendo wa kupiga 100 ndio muelewane tofauti na wenzako akina TTCL, VodaCom, Tigo na Halotel kwa mbali...
  4. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
  5. sky soldier

    Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
  6. P

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud alitoa hotuba ambayo sehemu ninayoinukuu anasema, "Kwenye serikali hiihii ambayo...
  7. MK254

    Duh! Tigo na Zantel zimeishindwa Tanzania, kuuzwa

    Wanaihama Afrika kabisa.... ==== Millicom International Cellular S.A. (Millicom) is selling its Tanzanian subsidiaries (Tigo and Zantel), the company announced on Monday, 19 April 2021. The telecom firm, which is listed on Nasdaq (New York City) and Stockholm (Sweden) stock markets, said in...
Back
Top Bottom