Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...
Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Wakuu samahani
Nimesajili laini mpya ya HALOTEL ya chuo Ina wiki Sasa
Walinipa gb kama 5 hivi za ofa mwanzoni navosajili alafu wakasema Kuna ofa ukiunga kifurushi cha mb 980 cha 2000 na ukatumia ndani ya masaa SITA kikaisha wanakupa ofa ya gb 2.
Nataka kuuliza kama Kuna mtu ashawi fanya hii...
Habarini,
Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga.
Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms .
Serikali imelala tu wananchi wanaibiwa!!
Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw ukisuasua nini shida maana imekuw kero sasa.
Ndg zangu tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m, wakishakusajili unaweza angalia balance vizuri.
Baada ya week moja ukitaka kuangalia salio hupati majibu. Hapo ni either uwapigie customer care au ushituke tu bando limekata.
Niliweka bando la 15,000/ Kwa 18GB mwezi. Matokeo yake...
Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha 5G Halotel ni Matapeli nazima Line yao nimejaribu kuzima Line nyingine ili nisiisumbue.
Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g.
Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia.
Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake
Ahsante
Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment!
Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa
TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au?
Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?;
Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
Habari wakuu,karibuni niwauzie bando Kwa bei nafuu,Leo ninayo ofa nitakuuzia Gb 10 Kwa elf 8 tuu,kwa wasio amini ntakutumia bando ndio unilipe,karibuni
Simu: 0625927098
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje...
Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi
1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia.
2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.