Udhibiti wa habari na maudhui (censorship) ni mfumo au utaratibu unaotumiwa na mamlaka, kama vile serikali, taasisi, au vyombo vya udhibiti, kukagua, kuzuia, au kuminya usambazaji wa taarifa, mawasiliano, na kazi za sanaa ambazo zinahesabika kuwa ni tishio kwa usalama wa taifa, kinyume na maadili ya jamii, au zenye mlengo wa kichochezi.
Mvutano wa kijenetiki kati ya uandishi wa habari huru na mamlaka za dola nchini Tanzania unaendelea kushika kasi mpya, ukionyesha mageuzi makubwa ya kimbinu. Uhusiano huu wenye migogoro sasa unajidhihirisha wazi kupitia hatua za hivi karibuni za kiutawala dhidi ya mwanahabari, mchambuzi mkongwe...
Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana nknk
Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa!
Najiuliza tuu...
Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi.
Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
In 2020, Tanzania ranked as position 124 out of 180 countries in the World Press Freedom Index. In 2019, it was position 118 out of 180, which is 93 positions down, compared to 2018. Tanzania has witnessed a consecutive fall in the Index each year since 2016. The article “Bulldozing the Media”...
Pichani ni marehemu Marine Hassan Marine akisindikizwa na askari kutoka kwenye viwanja vya kampeni Jangwani mwaka 2010 baada ya wapenzi na mashabiki wa CHADEMA wenye jazba kulalama na kumzonga kufuatia matangazo ya moja kwa moja ya TBC kukatika hewani.
August 4, 2020 kulikuwa na mkutano mkuu...
Rise and Popularity of Online Forums across Africa:
The rise and popularity of online forums across Africa speaks volumes on peoples preference of freedom and how main stream social media has failed at this.
I have personally learnt so much from these unfiltered sources of information and would...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.