youtube

 1. I

  Diamond azawadiwa certificate na YouTube baada ya kufikisha 3m subcriber

  Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi. Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
 2. YEHODAYA

  Jinsi ya kudownload video YouTube na kusave kwenye flashdisk

  Hivi unawezaje kudownload video YouTube na kusave kwenye flash disk? Msaada please.
 3. S

  Askofu Zachary Kakobe yupo live YouTube kwenye Ibada ya Krismas

  Ni mahubiri ya ibada ya krismas
 4. V

  Hebu tupeane elimu kuhusu biashara ya YouTube

  Habarini ndugu zangu. Naomba kuelekezwa kama unataka kuwa youtuber, malipo yanakuwaje yaani hadi uwe na views kiasi gani na ni kwa mda gani unaanza kulipwa ni kila wiki, mwezi au mwaka? Na ni nani responsible wa kuwalipa hawa youtuber? Kama kuna thread inayohusu hili naomba mnitag.
 5. NairobiWalker

  After stealing a Kenyan song, Harmonize's Uno has been pulled from Youtube

  Tanzanians on social media have reacted differently after Harmonize's hit song 'Uno' was deleted from YouTube. On Wednesday, largest video sharing platform in the world, YouTube, pulled down Harmonize's song after Kenyan producer Magix Enga alleged he was the originator of the song's beats...
 6. beth

  Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

  Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
 7. NguoYaSikuKuu

  YouTube channels zinauzwa

  Nauza YouTube channels :) subscribers : zaidi ya 1500 + watching time hours : zaidi ya 1500 + UPDATE (HAZIUZWII TENA ZIMEISHA)
Top