balehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Changamoto za Malezi ya Watoto kipindi wakiwa kwenye Balehe

    Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia. Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
  2. T

    SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  3. N

    Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

    Habarini! Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa. Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo). Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea. Uzoefu wenu...
  4. Erythrocyte

    Antony Mtaka awataka Ma - DC Wapya kuepuka balehe ya Madaraka

    Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma. Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya wasitumie madaraka yao vibaya Chanzo : Mwananchi
  5. miles45

    Kitabu cha Mapenzi cha Mama

    Na imani mu wazima wa afya Kama kawaida tupatapo upenyo lazima tulete story kijiweni ili kijiwe kizidi kunoga kwa sisi wazee wa mitandaoni [emoji2956] Basi kipindi hicho Ni kijana mdogo ndio balehe Imeanza kukomaa vivuzi ndio vinachomoza ukiona tu hata chupi ya beki tatu kidushe lazima kisimame...
Back
Top Bottom