mtoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  3. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Ni heri upate mtoto wa kiume shoga au mtoto wa kike kahaba/kicheche?

  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  6. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotea kwa Mtoto wa kike

    ⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo aliyopotelea: Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe. Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Kila 'connection' inapovuja wanawake ndio waathirika wakubwa. Tushukuru sana kuzaliwa wanaume, mtoto wa kike muda wowote anaiaibisha familia au ukoo

    Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume. Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim Kardashian, mwamba hata hakusemwa dunia nzima ikamwita Kim malaya. Tangu hapo Kardashian family...
  8. Bacteriophage

    JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  12. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania UNESCO: Kila $1 kwenye elimu ya mtoto wa kike inazalisha $3 kwenye GDP. Rais Samia katumia $47.8m kujenga shule za sayansi za wasichana

    CHUKUA KALAMU NA KARATASI, UNESCO: KILA $1 KWENYE ELIMU YA MTOTO WA KIKE INAZALISHA $3 KWENYE GDP | RAIS SAMIA KATUMIA 47.8M KUJENGA SHULE ZA SAYANSI ZA WASICHANA 26 Rais Samia amejenga shule 26 za Sayansi kwa wasichana kwenye mikoa 26. Tunafahamu,Ukiwekeza dola moja ya Kimarekani kwenye...
  14. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Elimu Haina Mwisho; 'mchongo' adhimu kwa mtoto wa kike

    Habari za Jioni wakuu? Leo nimeona niwashirikishe juu ya mchongo huu. Ni kuwa, hii ni Program maalamu ya kuwawezesha mabinti ambao hawakumaliza elimu ya Sekondari kwa sababu yoyote kujiendeleza kielimu na kifani. Elimu hii wanaipataje na kwa gharama gani? 1. Elimu hii inapatikana kwenye vyuo...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kitovu kwa mtoto wa kike

    Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara tatizo halionekani! Kwa mara nyingine nmeenda tena kuoanana na specialist wa watoto..akafanyiwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kike wa Tanga aliyesifiwa kujua Lugha ya Kiingereza kwakuwa kasoma Shule za 'Kata CCM' amewaumbua Wanaomsifia na aliye Ziarani

    Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

    Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake. Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye. Sasa sijui uyo aneongea nae...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anapswa kusomeshwa sana kumuepushia mazingia hatarishi yanayopunguza furaha na kupunguza siku zake za kuishi

    Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Klabu za Jinsia Maskulini Zinavyomuandaa Mtoto wa Kike Kuwa Kiongozi

    Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni. Klabu hizi...
Back
Top Bottom