mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kununua Hayana Amani Kama Kuwa na Mke Wako

    Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa karibu na mwanamke lazima gharama ihusike tendo linakuwa kama kazi ya kulipia huduma badala ya...
  2. Joshua Mbezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

    Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
  4. R_Breazy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaribu kuuliza hili swali kwa mchumba/ mke wako

    Habari za majukumu wakuu Leo baada ya kuchoka kutafakari namna gani napata wapi michongo, notification iliingia watsapp kucheki vizuri nikaona picha kadhaa zimetumwa na mtu wangu kafanya hivyo ili nipate picha ya kumpost birthday yake umekaribia(si mnajua watoto wakike wanavyozingatia hata...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Bro, kwahiyo mkeo umemruhusu kujipost mtandaoni na ana zaidi ya picha 30? Sawa Bro

    Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro. Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo. Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Pale ukifulia hivi ndivyo mke wako anavyokuona kila akiingia chumbani

  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bro kama hii ndio type ya wachungaji ambao mke wako anawaheshimu, kufuata ushauri wao, anapeleka watoto wenu kwake, Kazi unayo !

    Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe. yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani. Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako u
  10. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

    Wakuu kwema??,. Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani? Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu...
  11. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  13. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Utaamua vipi ukigundua mke wako kajenga nyumba kisirisiri bila wewe kujua?

    Wajomba na mamshangazi twende Direct! Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua? Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua. Mhusika anahitaji mawazo yenu.
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

    01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine! 02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
  16. Desierto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe na mke wako hampigi story za umbeya basi hamuendani

    Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV? Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala Mfano nilikuwa nikirudi job namkuta mwenzangu naanzisha story mpaka nachoka mwenzangu hamna kit u...
  17. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Picha: Anachopitia mke wako wakati wa kujifungua

    Wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa Kuangalia njia na kusafishwa uchafu baada ya kujifungua. Hapo lazima mkono wa mtaalam uingie wote. Ndio maana hawa viumbe wanapojifungua huwa km akili hazipo sawa.
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mke wako anavyo imagine kama ukimuaga kuwa unaenda kuangalia mechi na washkaji.

Back
Top Bottom