#COVID19 Wanasayansi: Chanjo ya Covid 19 huharibu mzunguko wa Hedhi kwa wanawake

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa.

Utafiti huo umefanywa na University of Illinois na Washington University School of Medicine umebaini kua 56% ya wanawake waliochanjwa covid 19 hedhi zao zilibadilika kabisa na 44 hedhi zao hazikubadilika.

Utafiti huo unasema wanawake 44% walipata hedhi kubwa ama damu kutoka kwa kiwango kikubwa kuliko kawaida na damu kutoka kwa muda mrefu kuliko kawaida ya mzunguko wao.

Asilimia 14 ya wanawake walisema wao hawakupata hedhi kabisa kwa muda baada ya chanjo ama walipata kidogo kuliko kawaida na pia mzunguko kuharibu kabisa.

Asilimia 44 wao hawakuona tofauti ya chanjo na kabla ya chanjo ingawa walihisi mabadiliko kwenye miili yao.

Kwa Tanzania utaambiwa chanjo haina madhara, kwa wenzetu uwazi ndio msingi wa kila kitu.
 
Kumekucha, na bado nasikia ikifika December dhakari hazifanyi kazi, tulio kwepa huu mtego tutafaidi sana.
 
Back
Top Bottom