Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.

Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.

Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu ambazo mimi kuziacha siwezi(namkera mno kwa kweli sometimes nafanya makusudi tu). Yaani kama wewe ni mpiga punyeto na unategemea au umeambiwa uoe ndipo uache, umedanganywa vibaya sana.

Tendo la ndoa ni rahisi pia si rahisi kama mnavyofikiria. Mimi huu ni mwezi ninanyimwa tendo kisa kikiwa cha kijinga mno naweza kusema hivyo.

Nimekuwa nikitulizwa na mchepuko wangu wa muda mrefu mtoto mbichi mhitimu wa kidato cha 6 wa miaka 22 kasoro.

'Mind you', na punyeto sikuacha kwa kuwa nimeoa, niliacha mwenyewe baada ya kupata 'unlimited access' ya tendo kutoka kwa wanawake tofauti.

Kuna hedhi, kuwa 'bored' kwa mke wako n.k, sasa siku hizo wapi utapata tendo ukiwa 'high'? Umeanza kupata picha mnavyodanganywa eeeh? Ndoa ni ngumu kwa kiasi kikubwa, kwa hapa niwe mkweli tu.

Wazee msituone tunazeeka pamoja tumepitia mengi na kuvumilia mengi mno kutoka kwa wake zetu ambayo mengine hatuwezi kusema ni aibu, na ni siri za familia.

Kwa nje tunacheka kwa furaha ila siri zilizojificha kwenye ndoa ni hatari. Msikurupuke vijana, acheni mhaho. Hivi kijana wa miaka 30 unaharakia kuoa ili iweje?! Sidharau uamuzi huo ila nawashangaa sana. Huo ndiyo umri wa kula maisha na kutobanwa banwa, wewe unaoa unaingia kifungoni. Ila sawa, nashauri sipangii watu maisha.

Huku mambo ni moto vijana. Soko gumu 'kinoma' na limekwisha kuwa 'saturated'. Wengi wanaowacheka, kuwakejeli na kuwaambia muoe ni kuwa wanaona wivu uhuru mlio nao na maisha mnayoishi, wanataka muingie ili mteseke wote. Na huu ni moja ya ubinafsi, ujinga na upuuzi wa mtu mweusi usiotakiwa kuchekewa.

Kijana miaka 20-35+ kula maisha. Miaka 35 hata 40 bado kijana sana wewe. Hapo kwenye 40 ndipo unaweza kuvuta mke ndani ukitaka. Kila umri una vipaumbele vyake. Kwa nini kijana uharakie mambo ya kizee?! Ili ugundue nini?

Na ndiyo maana vijana wanazeeka mapema siku hizi. Kijana unakuta miaka 34 tu makunyanzi yameanza na mvi kwa mbali. Akili nayo imeshaanza kuchoka na kutoa uvundo, suruali anavaa 'mibwanga' na mashati makubwa makubwa, badala ya umri huo kunyuka viwalo 'smart', kadeti, 'jeans' kali, 'T shirts' 'and the like'.

Kwa umri wangu huu nikikaa na vijana wa umri wa miaka 30 wengi waliooa nawafunika vibaya kwa muonekano wa ujana. Wengi wamechoka choka mno kwa sababu ya kuharakia majukumu.

Ila nimewasanua tu siwafosi. Hao mabinti wanaolazimisha muwaoe wengi wao wameshatumia ubinti wao 'at their peaky days' sasa wanataka wamalize ubibi wao na nyie. Na kwa kuwa vijana wengi wa TZ ni wapumbavu mnaingia mtegoni.

Jipende 'at that age', badili namna ya kufikiri kwako, kula vizuri, kula bata ila kwa uangalifu na 'responsibly'.

Na kuoa usioe shangazi. Mwanamke wa miaka kuanzia 26 shangazi hilo tuachie sisi tuliojizeekea, wewe kijana kula 'fresh meat', miaka kuanzia 18 mpaka 21 unaoa, ikizidi basi 23 MWISHO.

NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, au siyo rasmi. Ushauri wangu siyo msaafu, ukiona haukufai uache, ila ni kwa nia njema kabisa kuwasanua vijana ambao ni kundi linalodanganywa danganywa sana kwa sasa.

Ni mimi ndiye nilizingua na nilimzingua kwa makusudi tu, jamani kunyimwa kupo, najihusisha pia na masuala ya ndoa na mahusiano napata na kusuluhisha migogoro mingi ya wake kunyima unyumba kwa waume zao. Msije mkadhani eti ukimfikisha au ukiwa mbabe ndiyo hatokunyima, labda uwe mbakaji.

Yaani kijana mzima na nguvu na akili zako unakimbilia kuoa ukidangaywa ni dili?
 
647ef1cc-e4ec-4ce1-8e2c-94320a2dc04d.jpg
 
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.

Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.
Ukitoa hedhi ungonjwa sijawahi omba nikanyimwa tatizo mliolea mihemko nguvu zimewaisha mnalaumu tu. Wanaonyimwa ni wajinga tu jiulize anakunyima lakini kuna kabodabida kanapewa nyama safi kabisa inamaana ww ushaisha kazi na ni kujitakia mwenyewe hata huyo mchepuko akijua unataka kumuoa atakuletea pigo kama za mkeo manaa hataki mizigo na ww ni mzigo tayari anakuvumilia apate hela za vocha na matumizi mbali na hapo huna pa kumpeleka. Huo ndio ukweli take it.
 
Ukitoa hedhi ungonjwa sijawahi omba nikanyimwa tatizo mliolea mihemko nguvu zimewaisha mnalaumu tu. Wanaonyimwa ni wajinga tu jiulize anakunyima lakini kuna kabodabida kanapewa nyama safi kabisa inamaana ww ushaisha kazi na ni kujitakia mwenyewe hata huyo mchepuko akijua unataka kumuoa atakuletea pigo kama za mkeo manaa hataki mizigo na ww ni mzigo tayari anakuvumilia apate hela za vocha na matumizi mbali na hapo huna pa kumpeleka. Huo ndio ukweli take it.
Sawa. Ungejua kisa cha kunyimwa usingesema haya!. Hana kawaida ya kuninyima tendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom