Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
291
Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana.

Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi.

Daktari Jen Gunter, daktari wa wanawake, aliita imani hiyo 'hadithi kubwa kuliko zote, akisema: "Kwanza kabisa, imechunguzwa, hivyo tunajua haijatokea. Tunayo tiba bora kabisa ya msingi wa ushahidi kuonyesha kuwa si kweli."


========
Source: Daily Mail
 
Back
Top Bottom