kufanana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  2. S

    Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

    Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana. Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi. Daktari Jen Gunter, daktari wa...
  3. M

    Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

    Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
  4. B

    Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

    Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi: "Kupambana na maadui zetu kwa vitendo." Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri. "Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?" Ajabu na...
  5. badison

    Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

    Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi. Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo...
  6. F

    Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  7. Troublemaker

    Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

    Hello JF Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza. Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
  8. Mganguzi

    Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
  9. M

    Kila mtu ana zake na kila mtu ana chake. Tusilazimishe kufanana

    Hello Hello Hivi hii kasumba ya watu kutaka wengine wafanane au wawaze kama wao, fikra na mitizamo au maoni viwe kama wao ni uzuzu wa kielimu au ni dhana ya unyani? Upekee wa kiumbaji ni pamoja itikadi, ufahamu, imani, ufuasi, kutumwa, kutumika, unafiki, uoga, etc. Imeonekana kizazi cha...
  10. K

    SoC02 Ni usawa au kufanana kijinsia?

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa katika jinsia zote,kutokana na dhulma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Hoja hii imejengwa juu ya msingi kwamba kwa vile heshima ya...
  11. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  12. GENTAMYCINE

    Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  13. B

    Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

    Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani. Hukumu ya Jaji ikaonyesha nini kilitakiwa kifanyike ili iweze kukubalika. Bila ya ajizi WS Chavula...
  14. I am Groot

    Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

    Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii. Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi...
  15. B

    Kufanana na kutofautiana kwa Majaji Tiganga na Siyani

    Wawili hawa ni majaji ambao wote wameshughulika na kesi inayomhusu Mh. Mbowe na wenzake. Wote ni wateuliwa mahiri wa hayati Magufuli. Wote kwa maamuzi yao wameuacha ulimwengu wa haki ukiwa umepigwa butwaa. Kwa hakika hawajaonekana hadharani wenye kuyafagilia kwa dhati yao, maamuzi yoyote ya...
  16. Frumence M Kyauke

    Tabia ya viongozi wa Serikali kufanana na kambale

    TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI: Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha ya kambale ambayo kila mmoja ana sharubu zake. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa mkali sana...
  17. Fundi mahiri wa ujenzi

    Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti. Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen ,public toilet na store. Mchoro aliununua ndugu anaitwa Juma, baada...
Back
Top Bottom