Sijaona hedhi yangu ya mwezi huu July, nitakuwa na mimba?

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023

Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali, lakini natumia nguvu nyingi kuuangalia. Sasa sielewi, nina mimba au sina?
 
1000106086.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo:19/3/2023, 19/4/2023,21/5/2023,20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6. Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative lakini nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali lakin natumia nguvu nyingi kuuangalia.sasa sielewi Nina mimba au sina?
Kafunguwe hii thread jukwaa la afya, kule ndio kuna wataalam wa afya wanaperuzi lile jukwaa.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6...
Ukihesabu siku kutoka hedhi ya mwisho Hadi tarehe ya kukutana na mwenzi wako, zinafika siku 15-17 ambazo ni siku za hatari kwa mwanamke!

Inawezekana ukawa umeshika kweli though ni vzur kama ungesema unatumia siku ngap ukiwa hedhi
 
Mzunguko wako wa hedhi ni WA siku 28! Hvyo siku ya hatari ni siku ya 12-17
Hebu hesabu siku vzur uone
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6...
Mambo mengine kuyaleta humu si sawa!
 
Back
Top Bottom