Search results

  1. Chaliifrancisco

    Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  2. Chaliifrancisco

    Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake). Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa...
  3. Chaliifrancisco

    Halotel Kifurushi cha Kimataifa

    Wadau niaje? Asee hawa halotel nimejiunga kifurushi cha kupiga German na UK ili niongee na wadau wangu wa huko ila hela wamekata na nikipiga wananiambia namba haipo. Mnaopigaga hizo nchi hebu nipeni maujafanja maana hata nikipiga customer care yao hawapokei simu. Sema nini, sisi wabongo...
  4. Chaliifrancisco

    To the Unknown Man

    One day I saw someone I thought I’d never see He was sagging with smell of marijuana coming from his mouth And the way he talked you could tell he was from the south Just standing there staring at me I didn’t know what to say or do I looked in his eyes to see so much tears He said he’s...
  5. Chaliifrancisco

    Be a real Man

    A real man knows what he wants in a partner, and once he has found that special someone, he commits himself and his whole life. Your happiness becomes his happiness. He stays loyal to you because he understands that one true Love is enough for a lifetime. A real man is able to make decisions...
  6. Chaliifrancisco

    Story yangu ya kweli

    Woudaaa Junior Chalii, maisha niliochezea yalikua ni balaa. Hapa town yalikua ni balaa Nilijifanya mkora kipindi nipo skuli. Wazazi na waalim nkawaletea kiburi. Arusha Sec ndo shule nilioskul. Ndani ya skuli nilikua tofauti chalii kachaa mapigo ya kinyambuleti. Proper uniform juu nimekula...
  7. Chaliifrancisco

    Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
  8. Chaliifrancisco

    Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

    Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (U16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1. Hivi ndiyo vikosi vya team zote mbili. Mabingwa DR Congo. Mshindi wa pili Senegal...
  9. Chaliifrancisco

    Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

    Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua. Sababu zilizofanya nifikie...
  10. Chaliifrancisco

    Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni. Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
  11. Chaliifrancisco

    Nomia Rosemary Ndlovu; Askari aliyeua Ndugu Pamoja na Mpenzi wake ili Kujipatia Fedha za Bima (Insurance)

    Nchini Afrika Kusini kumekuwa na kesi iliyoteka hisia za watu huku macho na masikio ya watu wengi wakiifuatilia kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa katikati ya mwezi Septemba. Kesi hiyo inamhusisha askari wa zamani ajulikanae kama Nomia Rosemary Ndlovu anaekabiliwa na mashitaka ya mauaji, kula...
  12. Chaliifrancisco

    Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

    Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki? Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu? Huu ni...
  13. Chaliifrancisco

    Mvua ya Mawe (Hailstorm) Geita

    Mlioko Geita hii mvua ya mmeiona? Mimi mahali nilipo imenyesha kwanza mvua yakawaida tokea mchana ila muda mfupi uliopita ikaja ya mawe (hailstorm) kama kwa dakika kumi hivi sasa imekata.
  14. Chaliifrancisco

    Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

    Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii. 1. Mwizi wa Kawaida 2. Mwizi wa Kisiasa Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k. Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k. Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida...
  15. Chaliifrancisco

    Govi Lamuokoa Asiende Jela

    Butongwa John vs Republic (Criminal Appeal No.450 of 2017) [2021] TZCA 415; (26 August 2021) Binti wa umri wa miaka 17, anasema siku moja alitumwa dukani na baba yake ili akanunue madaftari ya shule, akiwa njiani kurudi nyumbani Binti akakutana na Bwana Butongwa ambaye alipora daftari zake...
  16. Chaliifrancisco

    Uhalisia wa Mifumo ya Uzalishaji/Utawala na Jamii Zetu kwa Mfano wa Ng'ombe

    Ujamaa (socialism): Una ng'ombe wawili, na unampa jirani yako mmoja. Ukomunisti (communism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na inakupa maziwa. Ufashisti (facism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na kukuuzia maziwa. Unazi (nazism): Una ng'ombe wawili...
  17. Chaliifrancisco

    Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

    Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
  18. Chaliifrancisco

    SoC01 Wosia: Jambo la Muhimu Linalosahaulika/Kupuuzwa na Wengi

    Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria) Katika jamii ya Kitanzania, kumekua na mitazamo mbalimbali juu ya kuandika wosia na wenegi wamekua wakihusisha na...
  19. Chaliifrancisco

    Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
Back
Top Bottom