stories of change

Stories of Change is a 2008 documentary film by BRAC Pathways of Women Empowerment.
The documentary focuses on the lives of five women aging from 16 to 60, coming from different walks of life, from different professions, religions and regions of Bangladesh.The film screened at various film festivals:
Jeevika: South Asia Livelihood Documentary Festival, Delhi (August 28–31, 2008)
Asiatica Film Mediale, Rome (November 15–23, 2008)
Goan Peoples' Film Festival: Celebrating Life and Livelihoods (November 21–29, 2008)
Kolkata International Documentary Film Festival (January 26–30, 2009)

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums

    Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  2. JamiiForums

    Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
  3. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Iko wapi top 50 ya stories of change

    Habari wakuu, Nasikia jamii forums wametoa top 50 ya stories of change. Iko wapi?
  4. Research Solutions TZ

    Niseme nini kuhusu ushindi wa Stories of Change?

    Kila kitu kilikuwa kama maigizo kabla ya kuona rasmi napokea muamala kama mnavyoona hapo juu. Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru JamiiForums kwa kunipatia hela hii ambayo sitahitaji ushauri wa jinsi ya kuitumia. Nimefungua akaunti hii muda mrefu sana, nikawa napata vijisent vya hapa na pale...
  5. JamiiForums

    Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  6. JamiiForums

    Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  7. M

    SoC03 Straika wa timu yetu ya mpira wa miguu ni kama Mayele au Baleke

    Mara zote mshindi mtarajiwa wa shindano la 'stories of change' huwa anafahamika. Na mshindi huyo huwa habadiliki hata mara moja, labda kwa mtu asiye na macho ya rohoni. Sifa zake ni rahisi tu, anapaswa kukamilisha kazi ya shindano kama alivyoipokea. Na kufahamika kwa mshindi huyo ndio sababu ya...
  8. _pirate

    SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  9. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  10. JamiiForums

    Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change 2023

    Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2023 Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2023' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
  11. Black Opal

    Washirika wenzangu wa Shindano la Stories of Change 2023 mnafuata vigezo vilivyowekwa kweli? Milioni 20 sio mchezo ujue!

    Kama tunavyojua mchongo ushaanza na nimeona kuna milioni 20 za kubeba. Watu tunaotaka kuchota hizi milioni 20 tunafata vigezo kweli au mnafikiri ni kazi rahisi kuzipata? Mtu unaandika tu ovyo ovyo kama uropoka, vigezo hufati halafu unajiwekea asilimia za kushinda! Kuna baadhi ya Vigezo na...
  12. JamiiForums

    Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linachochea mabadiliko kuhusu...
  13. Mohamed Said

    Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

    MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022 Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe. Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa. Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii. Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu. Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu. Zawadi...
  14. JamiiForums

    Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Baada ya takriban miezi 4 ya kusubiri kumjua atayejishindia zawadi ya andiko bora kwenye kinyang'anyiro cha storie of change 2022 siku imefika, leo ndio leo, washindi watatangazwa na kupewa zawadi zao. Mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5...
  15. K

    SoC02 Mwarobaini wa kutibu hali ya ubakwaji/kulawitiwa kwa watoto kwenye jamii yetu ya Watanzania

    MWALUBAINI WA KUTIBU HALI YA UBAKWAJI AU KULAWTIWA KWA WATOTO KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. Ubakaji maana yake ni ile ya mwanaume kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake pasipo kujali ameingiliwa kwa kutumia kitu gani. Kulawitiwa ni ile hali ya mwanaume au mwanaume kuingilia kinyume na...
  16. Davidy Sabas

    SoC02 Kuwawezesha wanawake kupitia TEHAMA

    Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu "Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
  17. bruno_ds_daniel

    SoC02 "Kesho Isiyofika" - Bruno D. Sakalani

    KESHO ISIYOFIKA “Unasikia midundo iyoo Chris!!? Yule Shayo mgombea wa PMP amekuja bwana!” Madokola, alimshtua Chris kwa kelele maana kwake yeye alidhani Chris alikwishazama katika ndoto na usingizi mzito. “Naamka aisee!” alijibu Chris kwa sauti ya chini “Kwani watu wamekwisha jaajaa uwanjani?”...
  18. mraniwene

    SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  19. Gill Rugo

    SoC02 Tusasishe mila na desturi zetu

    Naikumbuka bayana siku hiyo. Hususani ule mlio, mkubwa kuliko kumbukumbu yenyewe. Nilikua mdogo sana lakini nakumbuka dhahiri kila kitu. Ni moja kati yale matukio unayobeba akilini mpaka kifo. Yale matukio tambuzi yanayoathiri mustakabali wa maisha yako. Na ndio maana sielewi! Sielewi kwanini...
  20. Edward mbaga

    SoC02 Unyanyasaji au Uonevu wa Kimtandao (Cyberbullying) umekuwa tatizo kubwa kwenye Jamii yetu

    Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna aina tofauti tofauti za unyanyasaji wa kijinsia ambazo ni ; Unyanyasaji wa kingono, Unyanyasaji wa...
Back
Top Bottom