tunakwama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mali wanataka umiliki wa asilimia 30 kwenye migodi,Tanzania tunakwama wapi?

    junta WA Mali anataka umiliki wa migosi ya dhahabu asilinia 30 huku akitageti kuumiliki Moja kwa .ojo mgodi mku WA WA barrick kama watadelay kukubali umilikiwa hisa asilimia 30.Tanzania ya mama Samia inakwama wapi?
  2. Krikichino

    Kwanini Tanzania Hatuna Music Charts Zinazoeleweka Kama Billboard Hot 100? Tunakwama Wapi

    Kama unafuatilia muziki kwa umakini utabaini kwamba Bongo hamna music chart ya kueleweka, the likes of Billboard. Hapa Bongo kila kituo kina charts zake. Clouds ina Clouds FM top 30, EA Radio ina za kwake na vituo vingine vingi. Ubaya wa charts hizi ni kwamba hazina uhalisia. Zina upendeleo na...
  3. Kitambi chakufutia tachi

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote...
  4. T

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  5. J

    Je tunakwama wapi mwananzangu?

    Nchi yenye rasilimali chungu mzima ni Tanzania ila ccm wamezifanya kama shamba la bibi kwa kuzitapanya kama wanavyotaka kwa kuingia mikataba ya kifisadi na ya kinyonyaji. ooh nchi yangu yenye madini ya kila aina, maji ya kutosha, ardhi yenye rutuba na n.k ila masikini wa kutupwa. Je tunakwama...
  6. Equation x

    Wanaume tunakwama wapi?

    Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake. Kuhusu nitawalisha nini; msiniulize, jaribuni kumuuliza huyu alikuwa anawalisha nini! Nb: Dunia...
  7. Kinyungu

    Zimbabwe bans export of its valuable raw mineral lithium

    Rais Samia na Makamba...kama inawezekana Zimbabwe hata hapa Tanzania inawezekana. === Zimbabwe bans export of its valuable raw mineral lithium, essential for making electric car batteries, and tells world: "You want to make electric car batteries to combat climate change, make them in Zim!"...
  8. B

    Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
  9. B

    Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

    Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea. Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi. Raila agenda ni zile zile: Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu. Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika. Pia soma > RAILA...
  10. Chaliifrancisco

    Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  11. B

    Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

    Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati. 4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
  12. D

    Watu weusi tunakwama wapi?

    Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana. Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea. Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
  13. Pascal Mayalla

    Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  14. Poker

    Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
  15. M

    Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
  16. mwanzajo

    SoC02 Watanzania tunakwama hapa

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshubudia mabilioni ya fedha yakiwekezwa kwenye sekta ya elimu ambapo tumeona ongezeko kubwa la...
  17. Ladder 49

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  18. BLACK MOVEMENT

    Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  19. B

    Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

    Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei: Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda? Mama...
  20. B

    Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
Back
Top Bottom